Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Hivi sir Invisible yuko hapa haka ka button ka thanx mara kaonekani mara kapotee kulikoni?:A S-rose:
 
..........EE BIKIRA MTUKUFU NA MWENYE BARAKA

BIKIRA MARIA MAMA WA NEEMA NA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI.............!UTUOKOE SISI WENYE KUKIMBILIA KWAKO

TUOMBEEEEEE..._(askofu tafadhali...)

Tunakuomba eeh bwana... ukasitishe udumishaji mila...
 
hahahahaha!
mungu hapendi hivo mama

TUNAKUOMBA BWANA UIMARIIISHEEEEEE UDUMISHAAJI MILAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA,TUNAKUOMBA BWANA UIMARISHEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

UDUMISHAJIIII MILAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
...nawalaumu wote wawili.

Namlaumu mkaka kwa kutomuweka wazi mpenzi wake, na huyo mdada kwa kujichukulia maamuzi ya papara!
Wanaume wengine sijui tukoje. Ushaona umemuweka mtegoni binti, ya nini danadana nyiiingi?.. wengine wanapata hisia unamtumia kisha uoe mwingine.

Ingekuwa wewe Mwanaume unamtaka Mw'mke kwa udi na uvumba, mbio ungekimbilia kwa Wakwe!... na hizi tamaduni, mila na desturi zetu za kiafrika.... unajua ukishambandika Mimba tu, au dau kubwa...binti hana pa kutokea...

Mbu lakini mtu akishakwambia muda ukifika tutaliongelea hili swala anamaanisha hayuko tayari kutoa maamuzi yoyote .Ni kwa nini aliamua kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzie?
 
Wapendwa kumbe mmejificha huku?
Nimewatafuta Jamvi zima.

Jamani moja ya vitu ambavyo vinaleta hasira kwa wanawake katika mahusiano ni kuchezewa na hatimaye mwanaume haonyeshi dalili ya kukuoa.
Alichofanya huyo dada ni mbinu yake ya mwisho ambayo mara nyingi hufanikiwa na ndio maana anapogundua haijafanikiwa anajaribu mbinu nyingine ya kutishia kujiua.
Msimlaumu wapendwa kwani yamemkuta.

Hapo kwenye red ndio mnapokosea. Kwani alibakwa? Sielewi mtu ulale na mwanaume, nawe ushiriki starehe hiyo halafu ndio mwinginw awe amekuchezea. Inaingia akilini hiyo kweli? Hapa ndipo makosa yanapofanyika. Umeamua kuvua nguo umeji cheapen mwenyewe, hayo ya kukuoa kwani mliagana? Wengine "wanachezewa" as you put it, wanadeki, wanafua nguo, ijumaa tayari umeshajimuvuzisha kwenye gheto, anapata wapi sababu ya kuoa wakati mke tayari anaye. Halafu mambo yakigeuka basi umechezewa, haya bwana
 
Kuna kitu jamaa anampatia huyo binti kiasi kwamba anataka kubinafsisha ili jamaa asioe mke mwingine
 
Hapo kwenye red ndio mnapokosea. Kwani alibakwa? Sielewi mtu ulale na mwanaume, nawe ushiriki starehe hiyo halafu ndio mwinginw awe amekuchezea. Inaingia akilini hiyo kweli? Hapa ndipo makosa yanapofanyika. Umeamua kuvua nguo umeji cheapen mwenyewe, hayo ya kukuoa kwani mliagana? Wengine "wanachezewa" as you put it, wanadeki, wanafua nguo, ijumaa tayari umeshajimuvuzisha kwenye gheto, anapata wapi sababu ya kuoa wakati mke tayari anaye. Halafu mambo yakigeuka basi umechezewa, haya bwana
siku hizi imekaa 'kuchezeana' zaidi bana!!
 
kwa vile hii sredi imekimbia sana nimeona ni bora tuelekee studio za JF kupata kidurudisho cha kupumzisha akili kidogo.

OOO MAYASAAA ,MAMA MAYASAAA ,OOO MAYASAAAAA UZURI NI WA KUZALIWA NAOOO
OOO MAYASAA NAKWAMBIA KWELI MAMAAA ALIEKUUMBA SI MUJINGA
OO MAYASAA MAMA MAYASAA.OOO MAYASA UZURI NI WA KUZALIWA NAOO

SOURCE: Marijani Rajabu.

ni mimi DJ wenu Klorokwini a.k.a Pafyumu ya Jasho
 
Ndoa hupangwa na Mungu. Dadaa kaamua kutumia njia ya mkato kushinikiza kwa kutumia kigezo cha mimba na baadae mtoto kuwa ni kiunganishi jambo ambalo si kweli na ndiyo tabia iliyopo kwa baadhi ya wadada siku hizi. Ndoa kama ipo Mungu huweka baraka zake na kufanyika,hakuna shortcut. Hiyo imekula kwake,alee tu mtoto ikitokea jamaa akaamua kuhalalisha hiyo ni bahati kwake.

Mimi nina rafiki yangu mwanadada anafanya kazi benk. Yeye baada ya laghau nyingi oooh mara nakupenda mara hivi, akaona wote wenye kaptula walewale. Najagundua kitumbo hicho miezi kadhaa namuuliza vp bila hata sendi ofu. Kanijibu eti hata baba wa huyo mtoto hataki ajue maana uwezo wa kumlea anao na haitaji mwanaume. Anadai akitaka kitabu ataenda library kuazima asome akichoka anarejesha!
 
Hapo kwenye red ndio mnapokosea. Kwani alibakwa? Sielewi mtu ulale na mwanaume, nawe ushiriki starehe hiyo halafu ndio mwinginw awe amekuchezea. Inaingia akilini hiyo kweli? Hapa ndipo makosa yanapofanyika. Umeamua kuvua nguo umeji cheapen mwenyewe, hayo ya kukuoa kwani mliagana? Wengine "wanachezewa" as you put it, wanadeki, wanafua nguo, ijumaa tayari umeshajimuvuzisha kwenye gheto, anapata wapi sababu ya kuoa wakati mke tayari anaye. Halafu mambo yakigeuka basi umechezewa, haya bwana

HV inakuwaje kweli? Nje ya mada ama? Mtu ambaye ni mama mtu mzima (ooops sorry) Mdada hivi wa umri mkubwa tu, anajua Eeka Mangi ni mme wa mtu tena anamjua mpaka mkewe anavua anamuonjesha tunda mme wa mtu tena wanalimega kavu! mchezo unaendelea kanazaliwa ka manka au kameku kengine! Mwizi wa mme wa mtu analeta vurugu! Je hakujua huyu mme wa mtu? Anataka yeye awe nani sasa? Atadai alidanganywa ama alibakwa? Jamanieeeeeeeeeee nisaidieni hili
 
Ni vyema ikala kwake kwa sababu hakushirikisha ubong. ingekuwa mimi huyo mwanaume ningemletea sumu ya panya kabisa ili anywe.

Wamachame utawajua tuu... habari ya jengo jipya Bw Kwayu ..... wahindi hao nao pia wana katabia kakujiua wape sumu ya paka kabisa...salimia customer care yenu hapo...
 
kwa vile hii sredi imekimbia sana nimeona ni bora tuelekee studio za JF kupata kidurudisho cha kupumzisha akili kidogo.

OOO MAYASAAA ,MAMA MAYASAAA ,OOO MAYASAAAAA UZURI NI WA KUZALIWA NAOOO
OOO MAYASAA NAKWAMBIA KWELI MAMAAA ALIEKUUMBA SI MUJINGA
OO MAYASAA MAMA MAYASAA.OOO MAYASA UZURI NI WA KUZALIWA NAOO

SOURCE: Marijani Rajabu.

ni mimi DJ wenu Klorokwini a.k.a Pafyumu ya Jasho

Asante sana Klorokwini hivi ile miziki ya JF siku hizi inapatikanaje ..kila nikitaka kuingia kwenye music naona maneno mawili yamebebana new post na music inakuwa haiwezekani kwa kweli bwana
 
Mimi nina rafiki yangu mwanadada anafanya kazi benk. Yeye baada ya laghau nyingi oooh mara nakupenda mara hivi, akaona wote wenye kaptula walewale. Najagundua kitumbo hicho miezi kadhaa namuuliza vp bila hata sendi ofu. Kanijibu eti hata baba wa huyo mtoto hataki ajue maana uwezo wa kumlea anao na haitaji mwanaume. Anadai akitaka kitabu ataenda library kuazima asome akichoka anarejesha!

hii kali duh maamuzi ya kipalestina
 
kwa vile hii sredi imekimbia sana nimeona ni bora tuelekee studio za JF kupata kidurudisho cha kupumzisha akili kidogo.

OOO MAYASAAA ,MAMA MAYASAAA ,OOO MAYASAAAAA UZURI NI WA KUZALIWA NAOOO
OOO MAYASAA NAKWAMBIA KWELI MAMAAA ALIEKUUMBA SI MUJINGA
OO MAYASAA MAMA MAYASAA.OOO MAYASA UZURI NI WA KUZALIWA NAOO

SOURCE: Marijani Rajabu.

ni mimi DJ wenu Klorokwini a.k.a Pafyumu ya Jasho
HA HA HA HA!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
nilikuwa sijui kuwa we ndo dj skilz
 
Asante sana Klorokwini hivi ile miziki ya JF siku hizi inapatikanaje ..kila nikitaka kuingia kwenye music naona maneno mawili yamebebana new post na music inakuwa haiwezekani kwa kweli bwana

Mkuu yupo bize anapiga wazembe ban siku hizi ,amesahau kuweka betri kwenye redio JF.

:focus: Huyo mdada bado hajanywa sumu?
 
Back
Top Bottom