Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hahaa ndo maana na mimi napenda wewe uwe wifi yangu:A S 41:
kaka yako anampenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ndo maana na mimi napenda wewe uwe wifi yangu:A S 41:
kaka yako anampenda?
Nataka mimi ndo niwe mke wa kaka yake
Hapo sawa.
Huyo ni wifi au Mke mwenza? Siwezi kumruhusu dada yangu anizoee kiasi hicho, matumizi anipangie, mezani anilishe heh! Uzungu utakuwa umenishinda aisee.
Ila wakati mwingine, sisi wanaume ndio chanzo, kwa sababu mpaka dada kuingilia mambo yako ya ndani ni dalili kuwa kakuona zuzu kwa kiasi fulani na anajaribu kukuongoza.
Hahaa ndo maana na mimi napenda wewe uwe wifi yangu:A S 41:
Natamani akina fulani wangekuwa member humu wakasoma ujumbe huu.
Sio mbaya kaka yao atafikisha ujumbe, naomba Mungu leo uuone huu uzi.
Ha ha ha nipe majina niwatag wifi zako, waache ulofa....pole
Karibu, nafasi ipo moja tu kwa mdogo angu ila usiwe above 20 teh
Kama kuna ukweli kuhusu huo wivu sidhani kama ni sababu za kibiologia, lazma ni ya kisaikolojia tena iliosababishwa na malezi plus ujinga kidogo....ndio maana baadhi ya mawifi wanakuaga na wivu utasema ni mtu na mke mwenzie, binafsi sina hiyo kitu kabisaa, wifi angu (mke wa kaka) nampenda, ninamheshimu na nathamini sana uwepo wake.Nilisikia kibaolojia kaka huwa na wivu kwa dada yake n virceversa(sina hakika) ila nahisi ni kweli kwa kuangalia tu mambo ambayo huwa yanatokea baina ya mawifi, la msingi ni mwanaume kuwa mwanaume na kuchukua nafasi yake kuweka mipaka baina yake na dada zake just in a good way.
Yaani sisi wanawake sijui tuna shida gani ila ndivyo tulivyo, hatupendani kabisaaaaa hata kama sio wifi yako basi itakuwa ofisini n.k
Ha ha ha I see you utakua muathirika wa tabia za mawifi, waweza epuka haya kwa kuweka distance kati yenu kusiwe na yale mazoea saaaana kama wao ni watu sio tegemezi, namaanisha kama wana maisha yao tayari basi kila mtu awe bize na business zakeHahahahaha!!! Watatembea na gagulo hadi ubungo mataa, wanamidomo kama chuchunge.
Atapita kaka yao atasoma tu,
Nataka mimi ndo niwe mke wa kaka yake
Hapo sawa.
Ila ananibania..yan huyu Eve sijui ana matatizo gani
Ha ha ha I see you utakua muathirika wa tabia za mawifi, waweza epuka haya kwa kuweka distance kati yenu kusiwe na yale mazoea saaaana kama wao ni watu sio tegemezi, namaanisha kama wana maisha yao tayari basi kila mtu awe bize na business zake
Utamfanya nini?Namsubiri kwa hamu Wifi atakayetaka kufanya maamuzi yanayohusu familia yangu.
Kama mmeo hajaendekeza huo ulofa unadhani wifi ataanza tu?Namsubiri kwa hamu Wifi atakayetaka kufanya maamuzi yanayohusu familia yangu.
Kama kuna ukweli kuhusu huo wivu sidhani kama ni sababu za kibiologia, lazma ni ya kisaikolojia tena iliosababishwa na malezi plus ujinga kidogo....ndio maana baadhi ya mawifi wanakuaga na wivu utasema ni mtu na mke mwenzie, binafsi sina hiyo kitu kabisaa, wifi angu (mke wa kaka) nampenda, ninamheshimu na nathamini sana uwepo wake.
kama nlivosema kuna upendo wa ndugu, siku moja nliona tishrt flani hivi za chama na najua bro anazipenda what I did niliwapelekea wote na mkewe (mipaka ya upendo)