Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Nasikitika katika familia yetu hatuna kaka.
Laiti angekuwepo nahisi ningekuwa wifi mwema kwa mke wa kaka.
Lakini....inakuwaje kama unakutana na mke wa kaka ambae nae ni jeuri?
Maana mimi naamini katika ndoa kaka hujua tabia ya dada yake tangu wanakuwa wote, leo hii anao halafu anamleta dada yake ambae anajua fika kuwa ni mkorofi.
Mie naona na kaka zetu pia wanachangia huu 'ukorofi-mvurugano'