Kina dada tupunguze maamuzi yasio ya muhimu kwa kaka zetu waingiapo kwenye ndoa zao

Upande wa pili ni udhaifu wa mume.
Yaani watu wazima dada yako anaingia chumbani kwako??? Mnalishana chakula? Hapana aisee hapo kuna la ziada.

Ila kuna wanaume akili zao sijui wamezikalia. Hata akipanga mipango na mkewe lazima ikapitishwe na dada yake au wazazi wake.....

Ukiwa na mwanaume wa hivi ni sheeeeeeedeeeeeeeeeeer heri utafute hela zako ufanye yako.
 
Pole shosti

Nahisi hupumui.....

Hujui mawifi wasumbufu mara nyingi ni wale tegemezi na walioachika kwenye ndoa au Hawajawahi kuolewa. Hahahahahaha!!!

Watu asubuh 12 unawakuta mlangoni. Sina ham nao hawa watu aisee!!
 
Upande wa pili ni udhaifu wa mume.
Yaani watu wazima dada yako anaingia chumbani kwako??? Mnalishana chakula? Hapana aisee hapo kuna la ziada.

Ila kuna wanaume akili zao sijui wamezikalia. Hata akipanga mipango na mkewe lazima ikapitishwe na dada yake au wazazi wake.....

Ukiwa na mwanaume wa hivi ni sheeeeeeedeeeeeeeeeeer heri utafute hela zako ufanye yako.
Shost mmoja alikua analalamikia hili, kwamba dada (wifi) ndo anamshauri mme matumizi ya pesa nyumbani wakati mme hajakaa na mkewe wala kuongea hiyo mipango akabaki tu :twitch: tutajapishwa na vitandani bureee kushindwa kujua tunatakiwa kuishia wapi
 
Pole shosti

Nahisi hupumui.....

Niliwaachi kaka yao siku nyingi.

Etii siku ya kikao dadaake mkubwa akainuka akasema kaka ake alikua ananipa mim hela hvo nizilipe nikasema hesabu ni sh ngapi ili nilipe, heee!!! Akasema laki 6 loh!!! Yaani nivuruga kikao,

Nikamwambia miaka 7 yote mwanaume kunipa 100000+20000+30000....... jumla laki 6 kweli mnaona laki 6 ni hela!!!

Nikawaambia tulieni, kiwanja sikuchanga nilinunua mim, kujenga tumejenga pamoja na ndugu yenu sasa subiri nipeleke ombi mahakamani la kuuza, ikiuzwa nyumba nalipa laki 6. Mbona waliomba poo!!!

Hadi leo wakifanya fyokoo, nawatishia kuuza nyumba wanakuwaje wapole, kama kutukana wanatukania chooni.
 
Eti???

Wifi niletee chai halafu anamletea???

Yelewiiiii

Mbona angefunga kwaresma bila kutarajia? Mwanamama wa miaka 30 akifika baada ya siku tatu namwita mbele ya kaka yake nampa majukumu

Mtu mzima na akili zake hana ulemavu wa mwili, labda kama kichwani kwake kuna nati zimelegea
make alivokujaga tu kabla sijatambulishwa nkahisi tu kutokana na story atakua ni yeye
anaamka saa nne na skin tight yake anaswaki anakaa miguu juu na remote mkononi
ni kuagiza tu wifi niwekee chai kiasi akila vyombo hajigusi kutoa, analiendeleza hadi mchana analetewa msosi hapo hapo
ila kaka anachangia hiyo
 
Hapo.kama mwanaume hasikii mke amuambialo dawa ni kumwacha tu aendelee kushauriwa na dada zake...

Mke atafute hela zake afanye yake (tena kwa hasira humo ndani asichangie hata hela ya chumvi) dawa ni kumpa majukumu tu ada umeme fuel ujenzi nk nk nk tuone dada mtu atampangia nini mfyuuuu

Kuna watu wanaishi kama paka na panya. Mtu anakuja nyumbani kwako halafu anataka kubadili mfumo mzima wa maisha...... akishaingia tu hata wasichana wa kazi hawakai kwa ghubu lake nani anataka

Shost mmoja alikua analalamikia hili, kwamba dada (wifi) ndo anamshauri mme matumizi ya pesa nyumbani wakati mme hajakaa na mkewe wala kuongea hiyo mipango akabaki tu :twitch: tutajapishwa na vitandani bureee kushindwa kujua tunatakiwa kuishia wapi
 
Eti???

Wifi niletee chai halafu anamletea???

Yelewiiiii

Mbona angefunga kwaresma bila kutarajia? Mwanamama wa miaka 30 akifika baada ya siku tatu namwita mbele ya kaka yake nampa majukumu
Akijaga naona wifi mtu mdomo anauvuta masaa 24, hali ya hewa unabadilika
Kuna jumapili moja wakawa wanaenda church, kaka kambeba mdogo ake kwenye bodaboda mke anatembea na mtoto mgongoni.....
 
Pole sana

Dada mtu na guts za kudai kapata

Ila ukichunguza sana ndio wale mawifi ambao kila kitu wanategemea wapate kwa kaka yao
( ingawa kuna wengine wana hiari wache nyumba zao huko waende kufrustrate wake za kaka zao)

Ni shida..........

Niliwaachi kaka yao siku nyingi.

Etii siku ya kikao dadaake mkubwa akainuka akasema kaka ake alikua ananipa mim hela hvo nizilipe nikasema hesabu ni sh ngapi ili nilipe, heee!!! Akasema laki 6 loh!!! Yaani nivuruga kikao,

Nikamwambia miaka 7 yote mwanaume kunipa 100000+20000+30000....... jumla laki 6 kweli mnaona laki 6 ni hela!!!

Nikawaambia tulieni, kiwanja sikuchanga nilinunua mim, kujenga tumejenga pamoja na ndugu yenu sasa subiri nipeleke ombi mahakamani la kuuza, ikiuzwa nyumba nalipa laki 6. Mbona waliomba poo!!!

Hadi leo wakifanya fyokoo, nawatishia kuuza nyumba wanakuwaje wapole, kama kutukana wanatukania chooni.

Usishangae wifi wa namna hiyo ukivaa nguo mpya tu ananuna hela za kaka yake

Hahaha
 
Hapo.kama mwanaume hasikii mke amuambialo dawa ni kumwacha tu aendelee kushauriwa na dada zake...

Mke atafute hela zake afanye yake (tena kwa hasira humo ndani asichangie hata hela ya chumvi) dawa ni kumpa majukumu tu ada umeme fuel ujenzi nk nk nk tuone dada mtu atampangia nini mfyuuuu

Kuna watu wanaishi kama paka na panya. Mtu anakuja nyumbani kwako halafu anataka kubadili mfumo mzima wa maisha...... akishaingia tu hata wasichana wa kazi hawakai kwa ghubu lake nani anataka
Wala sio kwamba wanakaa nyumba moja, dada mtu anakaa kwake na ndoa yake ila mipango ya kaka anaipanga pia
 
Sa nyingine mi nasemaga wanawake mna mambo yenu wenyewe kwa wenyewe. Mtuache sisi wanaume. Mfano mi mke wangu ndugu zake nawaona kama ndugu zangu kabisa so siwezi leta shida nao. Namshukuru Mungu na yeye yuko hivyo ila wanawake asilimia nyingi ndoa ikitokea mnaishi defensively sana. Mke anahisi tu wifi zake watamuonea hivyo hata wakikosea kidogo tu kama ilivyo ada ya mwanadamu wanayakuza hadi mtaa wa 18! Dada nao kaka yao akioa wanaona kama mke anamuonea. Wanamchunguza mwanamke wa watu na ole wake aonekane na kakosa!

Bottom line is wanawake mnafuatilia sana maisha ya watu! Kuanzia kuangalia vipindi vya kimbea kama keeping up with kardashians na vya that sort! Hadi magazeti ya udaku na blogs za kimbea. Teams za kinafiki. Kama mtu unafanya mambo hayo hata tuweke nyuzi kumi hapa we utakuwa tu tatizo kwa ndoa yako na za wengine period!
 
Kuna mawifi na wakwe ndio wenye nguvu zaidi kuingilia mambo ya watoto wao, kinachotakiwa ni wanaume kuwa na msimamo na kutofautisha kati ya masuala ya familia na masuala yanayowahusu ndugu.
 
Sa nyingine mi nasemaga wanawake mna mambo yenu wenyewe kwa wenyewe. Mtuache sisi wanaume. Mfano mi mke wangu ndugu zake nawaona kama ndugu zangu kabisa so siwezi leta shida nao. Namshukuru Mungu na yeye yuko hivyo ila wanawake asilimia nyingi ndoa ikitokea mnaishi defensively sana. Mke anahisi tu wifi zake watamuonea hivyo hata wakikosea kidogo tu kama ilivyo ada ya mwanadamu wanayakuza hadi mtaa wa 18! Dada nao kaka yao akioa wanaona kama mke anamuonea. Wanamchunguza mwanamke wa watu na ole wake aonekane na kakosa!

Bottom line is wanawake mnafuatilia sana maisha ya watu! Kuanzia kuangalia vipindi vya kimbea kama keeping up with kardashians na vya that sort! Hadi magazeti ya udaku na blogs za kimbea. Teams za kinafiki. Kama mtu unafanya mambo hayo hata tuweke nyuzi kumi hapa we utakuwa tu tatizo kwa ndoa yako na za wengine period!

Umesema kweli. Ujue tumeshajiaminisha kuwa mawifi wana gubu..na mawifi nao wamejijengea kuwa wake za kaka zao wana matatizo. Kinachotokea hapo kati ni kuwa mnaanza kuishi kwa kuviziana, yani mnachekeana kiunafiki. Kila mmoja moyoni mwake anawaza " akilianzisha tu, atajua kilichomtoa kanga manyoya". Kwa hiyo mnashindwa hata kuenjoy uhusiano wenu kwa sababu mmeshajiwekea vinyongo mioyoni mwenu. Ndo maana hata mmoja akikosea hata kama ni kitu cha kawaida (katika hali tu ya kiubinadamu) ni utakuwa ugomvi wa kufunga mtaa.

Ingawa kweli kuna mawifi wenye matatizo but sio wote jamani. Kuna watu wanapatana na mawifi zao hadi unatamani mweee
 
Ni kweli hizo fikra tunazo, ila pia kuna watu hawabebeki na hawapendeki
hata uwapende ni kazi bure, better fu*k off
 
Huyo kiumbe asobebeka inabidi umpotezee tu. Maana kuna binadamu hawaridhiki wala hawana shukrani hata uwafanyaje
Hapo kwenye kuridhika ni tatizo, uwiiii staki kumuendekeza mtu....nshaamua kuvaa miwani ya mbao
 
Hapa wanaongelewa mme(kaka), dada ake mme, na wifi(mke)
na nafasi zao

My dada ukiona shida kwenye hiyo pembe tatu jua bila kusita wala shaka. . . .Mwanaume hayuko thabiti na hatendi majukumu yake kiuanaume. . . .Inawezekana kabisa ana ndimi mbili
 
Naked truth......
 
Back
Top Bottom