Kina dada tupunguze maamuzi yasio ya muhimu kwa kaka zetu waingiapo kwenye ndoa zao

Nasikitika katika familia yetu hatuna kaka.
Laiti angekuwepo nahisi ningekuwa wifi mwema kwa mke wa kaka.

Lakini....inakuwaje kama unakutana na mke wa kaka ambae nae ni jeuri?
Maana mimi naamini katika ndoa kaka hujua tabia ya dada yake tangu wanakuwa wote, leo hii anao halafu anamleta dada yake ambae anajua fika kuwa ni mkorofi.

Mie naona na kaka zetu pia wanachangia huu 'ukorofi-mvurugano'
 
Neno kabisa, namjua mmoja bwana mama ni msumbufu kwa mawifi zake kinomaaaa, sasa kahamishia familia yake kwa kaka yake na toto lake kubwa limemaliza chuo wote wanakaa hapo kwa kaka. Basi wifi wa japo home hafurukuti, wifi mwenyewe mzeee, wakati mke ni binti mdogo tu.

Hehehehe hata mimi natamani hivohivo

Watag tu wifi zako ha ha ha
 
Duh! Wanawake mna kazi sana.

Wakati sisi tunapiga Monde na mashemeji zetu , nyie mmekaa na mawifi zenu kimitego mitego.
You better learn to love each other, otherwise hamtaweza kuwa na maisha yenye utulivu.
Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?
wanawake huweka vinyongo wanaume ni mara chache, ndo maana misunderstanding za mashemeji ni chache kuliko za mawifi
 
Asikudanganye mtu wala usijidanganye.
Kaka mbele ya dada huwa anabadilika kabisa...labda ampate mke kichwa kigumu ndio atasimama

Hata mi naamini hivi mara chache mwanaume kusimama upande wa mke, mara nyingi sanaaa mwanaume anasimamia dada zake, yani kama ni mzani dada kilo 5 mke nusu kilo
 
Nasikitika katika familia yetu hatuna kaka.
Laiti angekuwepo nahisi ningekuwa wifi mwema kwa mke wa kaka.

Lakini....inakuwaje kama unakutana na mke wa kaka ambae nae ni jeuri?
Maana mimi naamini katika ndoa kaka hujua tabia ya dada yake tangu wanakuwa wote, leo hii anao halafu anamleta dada yake ambae anajua fika kuwa ni mkorofi.

Mie naona na kaka zetu pia wanachangia huu 'ukorofi-mvurugano'
Kaka ana nafasi yake kubwa tu
 
Hata mi naamini hivi mara chache mwanaume kusimama upande wa mke, mara nyingi sanaaa mwanaume anasimamia dada zake, yani kama ni mzani dada kilo 5 mke nusu kilo

Ukikutana na kina dada wanasema siku zote kaka anasimama kwa mkewe
 
Watag tu wifi zako ha ha ha

Mimi ninabahati sina wifi, nna mashemeji tu, hao mawifi ni mama zangu wanazingua sana wake za wajomba zangu.
Ntajitahidi nimfundishe mmoja wao kutumia JF awe anapata somo hahaha
 
Hahaa daaah umenikumbusha....mimi na kaka yangu ninayemfuata tangu tupo wadogo tunapendana kishenz...yan ni marafiki haswaaa...tukikaa pamoja full kutaniana, kupigana,kukimbizana yan full raha. Sasa juzi tu hapa hata kaja kututambulisha mkewe mtarajiwa. Bas my elder sista kaniambia nianze ku-maintain distance maana keshakuwa na wake sasa...yaan ni furaha iliyochanganyika na machungu

Eeeeh! Kumbe na wewe umo? Naanza kuona ndoa ya kaka yako ikiingia matatizoni, mazoea ni shida
 
Mimi ninabahati sina wifi, nna mashemeji tu, hao mawifi ni mama zangu wanazingua sana wake za wajomba zangu.
Ntajitahidi nimfundishe mmoja wao kutumia JF awe anapata somo hahaha

Sio kwetu tu, mi naionaga hii ligi hata kwa shangazi na mama (mawifi)
shangazi ndo wale wale wanashindwa kujua mipaka yao
 
Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?
wanawake huweka vinyongo wanaume ni mara chache, ndo maana misunderstanding za mashemeji ni chache kuliko za mawifi
Ni kweli , lakini nyie hata uchangiaji wenu humu unaonesha mnajiandaa kivita vita!
Just remember Love and caring , real matters.
 
Eeeeh! Kumbe na wewe umo? Naanza kuona ndoa ya kaka yako ikiingia matatizoni, mazoea ni shida

Kwa nini iingie matatizoni mkuu? Mimi sitofanya hivyo bhana nitampa space kaka yangu ainjoi penzi la mkewe kwa raha zake....after all tushakuwa watu wazima sasa tunakaa mbalimbali
 
Ni kweli , lakini nyie hata uchangiaji wenu humu unaonesha mnajiandaa kivita vita!
Just remember Love and caring , real matters.
Sio kujiandaa ila ndo hali halisi ya maisha ya mawifi
ndo maana twakumbushana kina dada tusiingilie ndo za kaka zetu
hata kina kaka vilevile watambue uwepo na kuthamini shemeji zao
kuwepo na mipaka katika hilo
 
Ni namna tu ya ku handle kero ndo inatofautiana, kwani we hakuna muda shemeji ako anakukera?
wanawake huweka vinyongo wanaume ni mara chache, ndo maana misunderstanding za mashemeji ni chache kuliko za mawifi

Yaani nilivyoona ni wewe umeanzisha topic nikajua chai tu hii!

He, kumbe ni mambo ya maana.
 
Back
Top Bottom