Kabla ya Yote wanataka uwaombe Radhi kati ya Mgogoro wa Kiuchumi unaoendelea kati ya USA na UCHINA, kisha utake Radhi kwa mahusiano Mabovu kati ya Israel na Syria..
labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Mambo mrembo!Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Mambo mrembo!