Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Silaletewa malalamiko comrade, isipokua hata wewe ukifungua roho na ukachangamsha macho, ni rahisi sana kubaini haya niyanenayo hasa kwenye comments za wadada wengi wa humu jf.
Ebu rejea mtu anapo tafuta mchumba ama mahusiano mapya humu jf, kwanini wengi wanatumia ID mpya?
Labda anaona aibu eti.
 
Asa mtu mko conversation ya 7 ila ni salamu tu, mambo, mzima, upo, nambie, shwari...yote ya nini.
Aende kwenye mada husika iliyomfanya anijie Pm
Mada si salamu kujuliana hali.... ?
 
For what?
Ndio maana kuna Pm.
Ok, kwahiyo wanaweka screenshot ili jamii ijue kama wanachat na Madame, who is Madame...
Wanaume nanyi mjirekebishe.

Mengine tunawavumilia basi tu
Hapa nimekuelewa haswa... haya nitaacha soon.
 
Back
Top Bottom