Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda nwingine tunawasalimu tu mkuu hatuhitaji mahusiano ya kimapenzi.
Comrade ina maana haya umeyajulia wapi yote....kinadada wameleta malalamiko pm yako maana najua wewe mtu muzito bwana.Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Mie mzima... za huko!
upo wapi! umekula!
Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Tukamalizie ng'we pm.Niacheni kwanza na Madame B nyie endeleeni tu
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla ya Yote wanataka uwaombe Radhi kati ya Mgogoro wa Kiuchumi unaoendelea kati ya USA na UCHINA, kisha utake Radhi kwa mahusiano Mabovu kati ya Israel na Syria..
Sawa mkuu... kwa hiyo wewe hutaki salamu zangu nitakuwa nakuja kukusalimia kutwa mara mbili kwa week.....
haaaaaaaaahhhhhhhhaaaaaaaa mengne kutwaaa kuomba pic
Kwa hiyo akiwa mchungu unajisemea moyoni...Tukamalizie ng'we pm.
Sema Pm kunakuwa kutamu kama jamaa unayechat nae anaingia kik ya kukupa pesa.
MuuzaMaterials twende babe wangu
Kuna ile mijamaa ya ku-screenshot.Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Nakuja PM kwako leo. Ngoja nipitie cross cutting issues ili nikija tuwe na mambo ya kujadililabda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Unawezasema kuhusu mpesa, tigo pesa au Lunch/dinner, viatu, mafuta.labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Sijaletewa malalamiko comrade, isipokua hata wewe ukifungua roho na ukachangamsha macho, ni rahisi sana kubaini haya niyanenayo hasa kwenye comments za wadada wengi wa humu jf.Comrade ina maana haya umeyajulia wapi yote....kinadada wameleta malalamiko pm yako maana najua wewe mtu muzito bwana.