Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Shoga nilitakaga kusutwa kupitia hizi screenshot.
Sema nilipiga samasoti moja hatari sana.

Sa hv hakuna cha ME wala KE....wote wanafiki tu.
Mnatumiana Pm kumbe inatembea kama upele mwilini.
Nimekoma
Ndiyo maana tunatuma za mambo, vipi, kwema umeshindaje, umekula nini? unaemdeleaje.

umevaa nini...hizi hazina madhara.
 
Wanaume tumeombwa mateso.
Mateso mwayataka nyie wenyewe.
Mje Pm mkiwa na sababu maalum.
Hatutaki salamu zenu zilizo ndefu kama mkojo wa mlevi.

Mwanaume rijali anakuja anakuuliza nataka nikutumie pesa ya lunch maana naona unachat sana jukwaani..nenda kale.
Mtu kama huyo hata ukimpa namba angalau wafarijika.
Asa wale wengine sasa.....loooollll!!!!!
Salamu kama tuko nursery school
 
usiwe mvivu shunie
Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku

Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one

Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
 
Back
Top Bottom