Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

hahahahaah nilikumiss kha!hapana kwakweli...mm napenda wale wa kusalimia asbh sana,,,mchana atakuchek tena,,sasa hapo unakuta kasalio kamesoma...tena unaambiwa pls manengelo nenda kula..its time nw.... sijamanisha siku zote..lakn anatia moyo🙂🙂🙂🙂🙂!
kesho yake mtachat tena kidogo atakuambia kale mishikaki umeniambia unapenda sana nyama..kale unywe na wine uwah kurudi hm...hv mtu kama huyu unamchukiaje!
mm sipohapa kuhamasisha ujinga!ila tambueni waanwake tunapenda kujaliwa hisia jamani(hasa mm😉)
wengne kuuutwa mbwembwe...ohh nimewah kuja huko nikalala hotel fulan maarufu!mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeew sasa nikubebe????
Umeona eeeee
Tumewachoka.

Ndo mana Pm zinafungwa.
Wanawake tunatakiwa mtujali, chezeni na hisia zetu.

Kuna mtu nachat nae mwaka wa 2 huu....ila hata pesa ya bando hajui naipata wapi.
Siku mita itasoma namba
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kulikoni!
 
Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Naunga mkono hoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbele ya ushahidi sasa hajakuuliza huyo mtu unayechangia nae kanijuaje nimecheka sana
Ilikuja ikaisha.
Na urafiki uko kama kawaida.
Ila mie bora umbea wa kwenye simu, Pm HAPANA
 
Back
Top Bottom