Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Mkuu mbona kama umenikasirikia na kunichamba juu....

Kuna tatizo!?

Najaribu kuchangia hoja iliyopo mezani...hoja inahusu wadada kwann nichangie kwa point zinazohusu wakaka!?
 
Sio jf pekeake ni kila mtandao wa kijamii wenye nature hii... Wadada wasio na muonekano angavu wanapata kujiachia! Kumbuka muonekano hafifu hupunguza sana kujiamini
Na huwa wanachunchwa sana,ili kufidia kutokujiamini kwao ili waonekane wanapendwa huu ni mtihani mkubwa sana tunao uona huko mtaani.
 
Acha halafu wanatuponda ukija kuwaangalia wao utajiona heri ya wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Una linganisha muonekano wako na wa jinsia ya kiume..mbona umejishusha sana!? Muoneano kwa mwanaume hauna nafasi ktk sector ya kujiamini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakojoaaaaaaaaa
Wasitutishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilitumwa picha wapo huko kwenye forex wamechooooooka halafu kutwa kutuponda humu[emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona kama umenikasirikia na kunichamba juu....

Kuna tatizo!?

Najaribu kuchangia hoja iliyopo mezani...hoja inahusu wadada kwann nichangie kwa point zinazohusu wakaka!?
Sijakasirika na sijakuchamba. [emoji23][emoji23][emoji23]kwani kuchamba ndio kupo hivyo.

Mimi nmekujibu as per your quote maana wewe ndio ulianza na issue ya maneno matamu kuelezea sura ya wadada wa humu.

We nijibu tu hayo maswali nimeuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…