Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

hahahahaaha kuna 1 mbovvvvvvvvvvuuu wasira atasubiri
Wasitutishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilitumwa picha wapo huko kwenye forex wamechooooooka halafu kutwa kutuponda humu[emoji23][emoji23]
Hebu wawekeni tuwaone bhana.
Kwani sh ngap!!!!
Wamwageni hapa tuwasasambue
 
haaaaaaaaahaahaaaaaaaaa
Mie kuna mwanaume mmoja alinitumia picha Pm.
Mpaka nikahisi ni mbilikimo wa Congo.
Afu jukwaani anavyoponda wanawake sasa...chefuuuuu!!!

Namtazama tu.
Kutwa anajishaua shaua kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa.
Ila ni mbovu wa sura mpaka umbo.
Yaani nahisi anaishi huko Tandale/Manzese ndani ndani ila akiwa jukwaani, anaishi Masaki.

Namsubiria siku aingie cha kike
 
Naunga mkono hoja[emoji119][emoji119]
 


madame mm nafwariki huku dah! jaman mm nakufa kwa kicheko....dah!eti nyoka aliyemwagiwa mafuta..yaan wanangu wananishantaqa hapa !salute
 
Umekula ""?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…