Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

I think it's a generation thing .
 
Kwa wale ambao, hatujaweza kupitia thread yote kupata majibu, naomba mmoja ajitolee kufanyajumuisho wa nini kimekubaliwa, yaani kama mtaweza kukaa kikao basi mje na majibu yanayojitosheleza.

Natanguliza shukrani.
 
Mnachosha bhana ukiona hujibiwi huko ujue hujaja kwa usahihi kuna mtu anakuja tu na kutaka kukujua eti nipe contacts mara ntumie picha chaa jamani em tuhurumiane kuna wanawake hatupendi usumbufuu ee
 
Em kunywa soda apo kwa mangi ukimaliza ujilipie
 
Tooobaaaa anauliza umekula nini ????? Anataka kukununulia chakula au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…