grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
I think it's a generation thing .Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.
Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.
Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?
Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.
au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.