Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Yiiiih. Story yangu jamani. MTU kaniambia karibu lunch nikamwambia asante. Muda huo huo akatuma na message naomba Namba ya Wakala nikutumie kidogo ya lunch. Wanaume kawa Hawa waishi milele JF
 
Kweli jamani. Hata MTU asipotuma hela ila ile kujali tu inakufanya umsikilize. Wale wa nipe Namba tuhamie whatsapp kisa umejibu salama wanakeraa
 
Yiiiih. Story yangu jamani. MTU kaniambia karibu lunch nikamwambia asante. Muda huo huo akatuma na message naomba Namba ya Wakala nikutumie kidogo ya lunch. Wanaume kawa Hawa waishi milele JF
Mnayo bahati ya mtende
 
Hivi pm iliyofungwa unajuaje? Mwenyewe naingia naangalia ubongo wako unawazaga nini napita kasi
 
Nimeona Kama unanisema sijui kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…