Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Mateso mwayataka nyie wenyewe.
Mje Pm mkiwa na sababu maalum.
Hatutaki salamu zenu zilizo ndefu kama mkojo wa mlevi.

Mwanaume rijali anakuja anakuuliza nataka nikutumie pesa ya lunch maana naona unachat sana jukwaani..nenda kale.
Mtu kama huyo hata ukimpa namba angalau wafarijika.
Asa wale wengine sasa.....loooollll!!!!!
Salamu kama tuko nursery school
Yiiiih. Story yangu jamani. MTU kaniambia karibu lunch nikamwambia asante. Muda huo huo akatuma na message naomba Namba ya Wakala nikutumie kidogo ya lunch. Wanaume kawa Hawa waishi milele JF
 
hahahahaah nilikumiss kha!hapana kwakweli...mm napenda wale wa kusalimia asbh sana,,,mchana atakuchek tena,,sasa hapo unakuta kasalio kamesoma...tena unaambiwa pls manengelo nenda kula..its time nw.... sijamanisha siku zote..lakn anatia moyo🙂🙂🙂🙂🙂!
kesho yake mtachat tena kidogo atakuambia kale mishikaki umeniambia unapenda sana nyama..kale unywe na wine uwah kurudi hm...hv mtu kama huyu unamchukiaje!
mm sipohapa kuhamasisha ujinga!ila tambueni waanwake tunapenda kujaliwa hisia jamani(hasa mm😉)
wengne kuuutwa mbwembwe...ohh nimewah kuja huko nikalala hotel fulan maarufu!mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeew sasa nikubebe????
Kweli jamani. Hata MTU asipotuma hela ila ile kujali tu inakufanya umsikilize. Wale wa nipe Namba tuhamie whatsapp kisa umejibu salama wanakeraa
 
Yiiiih. Story yangu jamani. MTU kaniambia karibu lunch nikamwambia asante. Muda huo huo akatuma na message naomba Namba ya Wakala nikutumie kidogo ya lunch. Wanaume kawa Hawa waishi milele JF
Mnayo bahati ya mtende
 
Asa anakuringishia ili iweje?
Mshamba tu.
Yaani kuna mijanaume mingine ina sifa sana.
Mie nina kawaida moja nikiona Pm ya mkaka
1. Naenda kwa wall yake kuona thread zake, kama za mavimavi, nauchuna.
2. Nikiona amekuja Pm huku Pm yake iko closed, hanipati.

Afu mwanaume anafungaje Pm..
Hivi pm iliyofungwa unajuaje? Mwenyewe naingia naangalia ubongo wako unawazaga nini napita kasi
 
Kwa kiasi kikubwa wadada wanaojihusisha sana na hii mitandao yenye privacy kubwa...huwa hawana muonekano mzuri kabisa...angalau ktk hyo mitandao wanapata comfort ya kusifiwa wa kua watu wanao interact nao hawawafaham... Na hii ndio sababu mtu hafanyi kitu chochote hatarishi lkn bado ID yake hataki iwe revealed mana watu wakijua muonekano wake ni hafifu basi wata mkimbia na shobo zitaisha.....

Nawasilisha
Nimeona Kama unanisema sijui kwanini.
 
Back
Top Bottom