Kwako hela ni kiasi gani? Sababu MTU kukupa laki au laki 2 au elfu 50 matumizi yake ya maana yapi sasa? Au unadhani wanatoaga million mkuu?Yawezekana pia mnapiga hela lakini mkawa mna matumizi mabaya. Hilo pia lawezekana yaani mkakosa mipango.
Sisi huwa tunasema "Ukishindwa kupanga,umepanga kushindwa"
Hahahahahaaa. Umenikumbusha Topic ya Earthquake Kama sijakosea. Factor moja wapo ya Tsunami ni movement of tectonic plates. Topic yangu ya kula marks za bure za Physic ilikuaAsante, hapo nimekupata bila chenga.
Kuna mtu namlia timing, ngoja nimtengenezee notice za continental drift na plate tectonics kabla ya kumfata PM. Kuna Tsunami pia limetokea Indonesia + earthquake, natafuta points za kudiscuss factors zinazosababisha.
Hahahah...hilo neno linaboalabda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
[emoji39][emoji39]Hahahahaaa. Njoo ule wali na maini
Swali zuri. Hela ni ile yenye kukidhi haja na ziada. Kwahiyo Haina kiwango maalumu,hata kama ni elfu kumi kama ina kidhi haja na ziada,hiyo ni hela unatakiwa kuipangia mkakati.Kwako hela ni kiasi gani? Sababu MTU kukupa laki au laki 2 au elfu 50 matumizi yake ya maana yapi sasa? Au unadhani wanatoaga million mkuu?
Hahahahaha.Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Mkakati ni Kama hela ya lunch inaenda lunch. Hela ya wine sijui JD inaenda kwenye matumizi yake. Unataka MTU akinipa elfu 50 ya lunch nikaichezee Biko au nikampe mwarabu kwenye betting?Swali zuri. Hela ni ile yenye kukidhi haja na ziada. Kwahiyo Haina kiwango maalumu,hata kama ni elfu kumi kama ina kidhi haja na ziada,hiyo ni hela unatakiwa kuipangia mkakati.
Nipo.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mateso mwayataka nyie wenyewe.
Mje Pm mkiwa na sababu maalum.
Hatutaki salamu zenu zilizo ndefu kama mkojo wa mlevi.
Mwanaume rijali anakuja anakuuliza nataka nikutumie pesa ya lunch maana naona unachat sana jukwaani..nenda kale.
Mtu kama huyo hata ukimpa namba angalau wafarijika.
Asa wale wengine sasa.....loooollll!!!!!
Salamu kama tuko nursery school
Kwanini uishi kwa kubahatisha kujishughulisha na bahati nasibu.Mkakati ni Kama hela ya lunch inaenda lunch. Hela ya wine sijui JD inaenda kwenye matumizi yake. Unataka MTU akinipa elfu 50 ya lunch nikaichezee Biko au nikampe mwarabu kwenye betting?
Hahahahahaaa. Umenikumbusha Topic ya Earthquake Kama sijakosea. Factor moja wapo ya Tsunami ni movement of tectonic plates. Topic yangu ya kula marks za bure za Physic ilikua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeeee
Tumewachoka.
Ndo mana Pm zinafungwa.
Wanawake tunatakiwa mtujali, chezeni na hisia zetu.
Kuna mtu nachat nae mwaka wa 2 huu....ila hata pesa ya bando hajui naipata wapi.
Siku mita itasoma namba
Nimetoa mfano kwamba nimepewa hela nikale lunch ulitaka niipeleke wapi. Ya msingi ni makusudio ya pesa husika.Kwanini uishi kwa kubahatisha kujishughulisha na bahati nasibu.
Rejea comment ya juu,kisha itafakari vyema upime kwa kujikadiria mwenyewe,hiyo nimekupa kanuni ya ushindi.
Nikisema mikakati ujue nazungumzia ushindi,ushindi unaenda sanjari na kujizuia na kufanya yale ya msingi.
Narudi............
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Hiyo Gondwanaland land nishaisahau. HahahaaaUmeona sasa tulishaanza kuongea lugha moja, hayo madude tukiwa shule nilikuwa nayaelewa kweli.
Kwenye continental drifts kuna Gondwanaland, hili jina nilikuwa nimekariri hata bila kuelewa, yaani nikawa mpaka nawapa watu hilo jina.
Mfano niliuelewa vyema,ndio maana nikasema haya niliyo yasema.Nimetoa mfano kwamba nimepewa hela nikale lunch ulitaka niipeleke wapi. Ya msingi ni makusudio ya pesa husika.
Basi kama kuna ambae unampatia, usitujumuishe wanawake wote kwa kosa la mwanamke mmoja aliyekutenda
[emoji16][emoji16][emoji16]Mie kuna mwanaume mmoja alinitumia picha Pm.
Mpaka nikahisi ni mbilikimo wa Congo.
Afu jukwaani anavyoponda wanawake sasa...chefuuuuu!!!
Namtazama tu.
Kutwa anajishaua shaua kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa.
Ila ni mbovu wa sura mpaka umbo.
Yaani nahisi anaishi huko Tandale/Manzese ndani ndani ila akiwa jukwaani, anaishi Masaki.
Namsubiria siku aingie cha kike