Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kwako hela ni kiasi gani? Sababu MTU kukupa laki au laki 2 au elfu 50 matumizi yake ya maana yapi sasa? Au unadhani wanatoaga million mkuu?Yawezekana pia mnapiga hela lakini mkawa mna matumizi mabaya. Hilo pia lawezekana yaani mkakosa mipango.
Sisi huwa tunasema "Ukishindwa kupanga,umepanga kushindwa"