Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Mfano niliuelewa vyema,ndio maana nikasema haya niliyo yasema.

Ina maana ukipewa elfu 50 ya lunch ndio ukale yote lunch ?
Naenda kula lunch tuseme 10k. Hiyo elfu 40 wewe uliwaza nitaenda itupa kwenye mtaro au ntagawa tip?
 
Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Sina uwezo wa kukufundisha ila nimekumbusha tu,katika kufafanua kile kilichofichikana.

Nipo..............
 
Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Halafu inaonekana umesahau msingi wa hoja yako ilipo mili mpaka tumefikia hapa...!
 
Mkuu leo umeandika hii comment ukiwa nchi gani asee, ni nadra saana kuongea vitu vizuri kwa uwazi Kama huu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…