Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
We' unachunwa......mi' namega kiselaHawa wanawake wanataka HELA hakuna ambae anataka maneno tupu,mambo yamebadilika
Usiku mwema!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We' unachunwa......mi' namega kiselaHawa wanawake wanataka HELA hakuna ambae anataka maneno tupu,mambo yamebadilika
Usiku mwema!!
Naenda kula lunch tuseme 10k. Hiyo elfu 40 wewe uliwaza nitaenda itupa kwenye mtaro au ntagawa tip?Mfano niliuelewa vyema,ndio maana nikasema haya niliyo yasema.
Ina maana ukipewa elfu 50 ya lunch ndio ukale yote lunch ?
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nikikijibu sijala utanitumia hela ya kula
Hiyo siri yako sasa.Naenda kula lunch tuseme 10k. Hiyo elfu 40 wewe uliwaza nitaenda itupa kwenye mtaro au ntagawa tip?
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Naenda kula lunch tuseme 10k. Hiyo elfu 40 wewe uliwaza nitaenda itupa kwenye mtaro au ntagawa tip?
Shauri lako huoni kina dada wenyewe wanavyosema humu?Wewe unachunwa......mi' namega kisela
Hiyo Gondwanaland land nishaisahau. Hahahaaa
Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa niniHiyo siri yako sasa.
Nishakumbuka sasaKabla ya drifting, kulikuwa na mabara makubwa mawili, then drifting ilivyotokea ndo kuibuka mabara mengi, picha hiyo chini..View attachment 883877
Hahahahaaa. shikamoo Coco. Nimechukua ujuzi
Sina uwezo wa kukufundisha ila nimekumbusha tu,katika kufafanua kile kilichofichikana.Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Nishakumbuka sasa
Hahaha Coco nitakuja na list
Halafu inaonekana umesahau msingi wa hoja yako ilipo mili mpaka tumefikia hapa...!Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Hivi pm iliyofungwa unajuaje? Mwenyewe naingia naangalia ubongo wako unawazaga nini napita kasi
HII PM HAIJAFUNGWA...hapa unaona sehemu ya conversation iko wazi kumtumia message.
View attachment 883883
HII PM IMEFUNGWA...hapa huoni sehemu ya conversation
View attachment 883884
Mzigua90 tofauti ndio hio
Mkuu leo umeandika hii comment ukiwa nchi gani asee, ni nadra saana kuongea vitu vizuri kwa uwazi Kama huu [emoji23][emoji23]Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji13] [emoji13]Mkuu leo umeandika hii comment ukiwa nchi gani asee, ni nadra saana kuongea vitu vizuri kwa uwazi Kama huu [emoji23][emoji23]