Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Mfano niliuelewa vyema,ndio maana nikasema haya niliyo yasema.

Ina maana ukipewa elfu 50 ya lunch ndio ukale yote lunch ?
Naenda kula lunch tuseme 10k. Hiyo elfu 40 wewe uliwaza nitaenda itupa kwenye mtaro au ntagawa tip?
 
Hiyo Gondwanaland land nishaisahau. Hahahaaa

Kabla ya drifting, kulikuwa na mabara makubwa mawili, then drifting ilivyotokea ndo kuibuka mabara mengi, picha hiyo chini..
Screenshot_20181001-224227.jpg
 
Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Sina uwezo wa kukufundisha ila nimekumbusha tu,katika kufafanua kile kilichofichikana.

Nipo..............
 
Basi usiongee kumfundisha MTU mzima kutumia hela Kama mtoto mdogo asiejua hela inafanywa nini
Halafu inaonekana umesahau msingi wa hoja yako ilipo mili mpaka tumefikia hapa...!
 
Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Mkuu leo umeandika hii comment ukiwa nchi gani asee, ni nadra saana kuongea vitu vizuri kwa uwazi Kama huu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom