Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
 
Comrade ina maana haya umeyajulia wapi yote....kinadada wameleta malalamiko pm yako maana najua wewe mtu muzito bwana.
 
haaaaaaaaahhhhhhhhaaaaaaaa mengne kutwaaa kuomba pic
 
Kuna ile mijamaa ya ku-screenshot.
Nashukuru Mungu...yalitaka kunitokea ila shetaki alipita kando.

Mwanaume umetunukiwa, unaona haitoshi bado unascreenshot maongezi.
 
Kuna ile mijamaa ya ku-screenshot.
Nashukuru Mungu...yalitaka kunitokea ila shetaki alipita kando.

Mwanaume umetunukiwa, unaona haitoshi bado unascreenshot maongezi.
Kwa uthibitisho zaidi
 
Comrade ina maana haya umeyajulia wapi yote....kinadada wameleta malalamiko pm yako maana najua wewe mtu muzito bwana.
Sijaletewa malalamiko comrade, isipokua hata wewe ukifungua roho na ukachangamsha macho, ni rahisi sana kubaini haya niyanenayo hasa kwenye comments za wadada wengi wa humu jf.
Ebu rejea mtu anapo tafuta mchumba ama mahusiano mapya humu jf, kwanini wengi wanatumia ID mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…