Kinachinishangaza mlume akisha gonga mzigo, salam mara 20 kwa siku na viswali uchwara kama upo? Vipi my? ndio inakuwa style yenu nyie wadada.Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Salamu haitii mimba!Tusichoshane kwakweli.
Inatia hasira hiyo salamu acha tu.
Usiogopeee[emoji16]Vya BURE aghali...SITAKI
Niambie...Salamu haitii mimba!
Pokea tu madame!
Mzima wewe?Niambie...
Hivi kumbe ndio jibu lake!!Mzima wewe?
Hakuna jibu maalum!Hivi kumbe ndio jibu lake!!
Kuna wale jamaa wa Forever living na Oriflame, nahisi watakufaa sana!Tunataka fursa za biashara na kazi
We mama fungua pm basi mara1Ushaharibika wewe acha waendelee wakuharibu tu.
Kwahiyo unajibu vile unajisikia?Hakuna jibu maalum!
kwa mfano dada yule si karogwa na mganga mashuhuri wa jf.labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Tayari mae.We mama fungua pm basi mara1
Kama huu.Umbea hauna salary.
Hata humu pana fursa sana tu.Nendeni vikoba wanatoa fursa JF ni salamu tu.
Huu una marupu rupu kibao,nini salary?Umbea hauna salary.