Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kabla ya Yote wanataka uwaombe Radhi kuhusu Mgogoro wa Kiuchumi unaoendelea kati ya USA na UCHINA, kisha utake Radhi kwa mahusiano Mabovu kati ya Israel na Syria..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu uzi nimeuchelewa kidogo ila mrejesho wake ni mkubwa sana. Tafadhari njoo na screenshot za huko pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…