Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Cheka tu mama .....sipendi sana mtu atuponde wanawake tusiovutia maana inanichoma mpaka kumoyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kumponda mwanamke sio kitu kizuri kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwasifia ninyi sana.
 
Tatizo vijana hawajui vitu vizuri. Mimi ni kijana ila kijana yuleeeeeeeeee.........

Mimi nimeshakutana nao ndio maana nakwambia hivyo.

Yaani ukinyimwa sura basi utakuta una vidole vizuri ajabu au una jasho fulani hivi ukiwa una sex linavutia sana,ili mradi kila mtu afurahie tu maisha.

sawa!
 
Mkuu nimefanya badiliko ...kdg
Kaka ndio huo huo unaopata shida za dunia sababu muhusika anakuwa hajiamini kutokana na kujihisi yeye mbaya,sasa akitongozwa tu hakatai ili ajihisi na yeye anapendwa,kwahiyo zinapata shuruba sema ndio hivyo tena still bado zinakuwa tamu ajabu.
 
Ni kweli unachozungumza Mkuu, ila inaitajika hekima ya hali ya juu sana, kwa mwanaume kukaa kimya mbele ya mwanamke,mwenye mdomo mchafu. So nao Dada zetu wanapaswa kutafakali maneno yao(majibu), kabla awajayatoa.
Ila kumponda mwanamke sio kitu kizuri kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwasifia ninyi sana.
 
Back
Top Bottom