Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

[emoji23][emoji23][emoji23] kaangalieni kwenye uzi wa forex ule wa kwanza wakati wanaanza mafunzo walikua wanatuma labda wazitoe ila zilikuwepo.

Mimi nina ka ID kamoja tu haka haka
Ushaambiwa jifya moja haliinjiki chungu.
Ule wa Ontario.
Hahahaah......ngoja nikawacheki mahendsam wa Jf
 
🤣🤣🤣 Daby

Unanitamanisha nijaribu hayo ya kufaidi maisha ya kutongozwa na videti tena.

Kwa jinsi nilivyokua na kujua kusaka pesa yangu.. eeeh

Ningefungua uwanja wa kufatiliwa na kutoa nafasi

Mimi kwanza ningependa mwanaume aje na story za current news na za teknolojia miaka hii ya kijiditali.. hapo anakuwa anajua list ya top 5 or 10 ya bidhaaa fulani fulani.. mimi nachagua tu kama tatu tuuu KUANZIA..

Na mimi nimwambie hiki na kile.. halafu akiweka interest kuuliza nataka zawadi gani

Eeeeeeh..
Hahaha Coco nitakuja na list
 
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.

Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.

Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?

Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.

au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Namba utapewa ya wakala. Mawasiliano mengine ni PM tu
 
labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Ha haaa aisee. Mwingine msg ya kwanza tu anakupa namba yake eti umcheck..utamcheck vipi wakati hata hamna mazoea yoyote?
 
labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Hapo unemaliza. Halafu sio wanaume wale wanaoshinda pm za wadada kucheza pata potea wale wanaume walio na mahusiano ya nguvu hata Kama michepuko lakini wanaelewana.
 
Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Shikamoo mhenga. Ujumbe uwafikie. Tunaogopana huku.
 
Mi bwana madem pm huwa hawanisumbui...namuwekea pale motion ya "MONEY IS BETTER THAN EDUCATION"af nasepaa...ndo wanachopendaa
 
Pleeas..ivo vtu sio vya kuvisema hapa
Ahahaha.. Hivi ndivyo vitu wanawake Wanapenda Mkali.. usijifanye kuzungumza nao vitu serious kila wakati!, John Alexander katika kitabu chake cha How to Become an Alpha Male, Ameelezea Vizuri sana!
 
Back
Top Bottom