Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaambiwa jifya moja haliinjiki chungu.[emoji23][emoji23][emoji23] kaangalieni kwenye uzi wa forex ule wa kwanza wakati wanaanza mafunzo walikua wanatuma labda wazitoe ila zilikuwepo.
Mimi nina ka ID kamoja tu haka haka
Njoo ila uje na salamu yenye kueleweka.Mimi ndiye bingwa wa salamu PM
Baadaye nakuja kwako
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kidogo nijisahau nikukumbushe mpira wa jana, wakati sio uzi wake.
Nipo bosi njoo ule nyama choma hapa mkuu wangu .mzima lakini.Kapwil upooo
Hahaha Coco nitakuja na list🤣🤣🤣 Daby
Unanitamanisha nijaribu hayo ya kufaidi maisha ya kutongozwa na videti tena.
Kwa jinsi nilivyokua na kujua kusaka pesa yangu.. eeeh
Ningefungua uwanja wa kufatiliwa na kutoa nafasi
Mimi kwanza ningependa mwanaume aje na story za current news na za teknolojia miaka hii ya kijiditali.. hapo anakuwa anajua list ya top 5 or 10 ya bidhaaa fulani fulani.. mimi nachagua tu kama tatu tuuu KUANZIA..
Na mimi nimwambie hiki na kile.. halafu akiweka interest kuuliza nataka zawadi gani
Eeeeeeh..
Bosi huogopi milimani wanakaa fisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nipo milimani uku usambaani
Namba utapewa ya wakala. Mawasiliano mengine ni PM tuMambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.
Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi! Mnalalamika tukija PM ni salamu tu salamu tu hamna ya maana.
Sasa swali letu ni mnataka tukija tujadili nini! hali ya hewa! siasa za mashariki ya kati? au hurricane ya Amerika?
Unapotaka kumwambia mtu jambo unaanza na salamu kisha salamu za kina kidogo kisha lengo mahususi. Sasa nyie tumeshindwa kuwaelewa. Mtuambie mnatakaje nasi tufanye hivyo.
au pesa! nitatumaje tupesa twangu bila hata kujuliana hali! namba nitaipataje.
Ha haaa aisee. Mwingine msg ya kwanza tu anakupa namba yake eti umcheck..utamcheck vipi wakati hata hamna mazoea yoyote?labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Ha haaa aisee. Mwingine msg ya kwanza tu anakupa namba yake eti umcheck..utamcheck vipi wakati hata hamna mazoea yoyote?
Nini funguaEeenh
Hapo unemaliza. Halafu sio wanaume wale wanaoshinda pm za wadada kucheza pata potea wale wanaume walio na mahusiano ya nguvu hata Kama michepuko lakini wanaelewana.labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
🙂🙂🙂 ewaaHapo unemaliza. Halafu sio wanaume wale wanaoshinda pm za wadada kucheza pata potea wale wanaume walio na mahusiano ya nguvu hata Kama michepuko lakini wanaelewana.
Shikamoo mhenga. Ujumbe uwafikie. Tunaogopana huku.Mkuu, Jf ya leo imekosa maadili na adabu kama siku zile za kitambo.
Humu jf pamekua na utoto na upuuzi wa vijana kuwatweza wadada na hata kufikia hatua ya kuwavua utu wao.
Wadada wengi wamekua waoga, na hawatuamini tena wanaume wa humu jf kwasababu tumekua tukiwatangaza mara tu wa kisha tukubali ama kutupatia mawasiliano yao.
Ebu kwa leo naomba niishie hapa...
Bure kabisasawasawa...lakin isiwe too much...wengne wana muda mduchuu wa kuja jf,,we mtu umechoka unakutana na pm sema!🙁😡
Mr. Romantic Good EveningAcha nivute kiti.
Comments fupi fupi, herufi kubwa zinaumiza macho!
Nishaagiza popcorn!
Ahahaha.. Hivi ndivyo vitu wanawake Wanapenda Mkali.. usijifanye kuzungumza nao vitu serious kila wakati!, John Alexander katika kitabu chake cha How to Become an Alpha Male, Ameelezea Vizuri sana!
Kwanini Kiongozi!Pleeas..ivo vtu sio vya kuvisema hapa