KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu BAK, kati yao wote sijaona aliyejutia, na badala yake ndio wanazidi kukaza shingo kukichimba chama; halafu unazungumzia "msamaha", Erythro, naomba msaada hapa tafadhali.Mkuu tusiwafungie mlango hawa wasaliti kama watakuwa tayari kuomba msamaha na pia kuikana rushwa ya viti maalum walivyohongwa na maccm, vinginevyo ni wa KUFUKUZA TU hawa.
Nitashangaa sana kwa hawa watu kusamehewa na kurudishwa ndani ya chama.