Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Mkuu tusiwafungie mlango hawa wasaliti kama watakuwa tayari kuomba msamaha na pia kuikana rushwa ya viti maalum walivyohongwa na maccm, vinginevyo ni wa KUFUKUZA TU hawa.
Mkuu BAK, kati yao wote sijaona aliyejutia, na badala yake ndio wanazidi kukaza shingo kukichimba chama; halafu unazungumzia "msamaha", Erythro, naomba msaada hapa tafadhali.

Nitashangaa sana kwa hawa watu kusamehewa na kurudishwa ndani ya chama.
 
Wakaungane na waunga juhudi walionunuliwa kwa Kodi zetu huku wanafunzi wanakaa chini na kukosa vyoo.Wakaanzishe chama chao cha usaliti party wamchukue tumbili,juakali,dogo janja,nk
 
Tayari katika hilo kundi kuna mfarakano mkubwa kwani baadhi wanataka sana kurudi kundini na kukubali makosa yao. Kwanini hawa wafungiwe mlango kabisa na ilhali wako tayari KUTUBU!? 😳
Mkuu BAK, kati yao wote sijaona aliyejutia, na badala yake ndio wanazidi kukaza shingo kukichimba chama; halafu unazungumzia "msamaha", Erythro, naomba msaada hapa tafadhali.

Nitashangaa sana kwa hawa watu kusamehewa na kurudishwa ndani ya chama.
 
Acha Hilda na Devotha wagombee hizo nafasi. Hao akina mzee Halima na wenzake tupa kule...nyqmbafu!
 
Natabiri lazima wasalitiane

Kuna covid 19 watarudi kundi soon na kukacha huo ubunge
 
Na yule Mwanaume alieshika Bango nae ni Bawacha
 
Tayari katika hilo kundi kuna mfarakano mkubwa kwani baadhi wanataka sana kurudi kundini na kukubali makosa yao. Kwanini hawa wafungiwe mlango kabisa na ilhali wako tayari KUTUBU!? 😳
Wakitubu na kujutia wareheshwe kundini lkn wapokwe vyeo vyao vyote. Wabakie wanachama wa kawaida. Vinginevyo utter NO!
 
Hilda Newton ana stress za kukatwa nafasi ya ubunge wa viti maalumu, maana niliona kipindi anajipongeza kuwa kapita viti maalumu alibakiza uteuzi tuu,

Njaa na cheo ni vibaya sana wacheni Covid 19 wale maisha bungeni maana M12+ kila mwezi dah ndefu sana
 
Kwani kuna kosa kutamani viti ambavyo vimetangazwa kuwa wazi? Mimi sioni namna ambavyo wakina Mdee watarudi kwenye uongozi wa BAWACHA hata wakisamehewa. Kama wanataka uongozi waanzishe BAWACHA yao nje ya CHADEMA. Ila mimi sioni shida kwa barua zao kufafanana. Kinachoonyeshwa ni kuwa wako tayari kufa pamoja. Ambayo sio mbaya. Kama kufukuzwa wafukuzwe wote na kama kusamehewa wasamehewe wote. Mpira uko kwa Baraza. Na ni dhahiri kuwa barua walizoandikiwa zitafanana maana makosa yao yanafanana. Ila hamna lazima ya utetezi wao ufanane maana kila mtu anaweza akawa alifikia uamuzi kwa sababu zake yeye mwenyewe.

Amandla...
 
Kuna wakati watu tuliamini kuwa bila wakina Halima BAWACHA inakufa. Wakina Devotha, Catherine, yule dada wa Zanzibar na Hilda wanathibitisha usemi wa kuwa hamna aliye zaidi ya chama. Ukitoka wako wa kuchukua nafasi yako.

Amandla...
 
Afadhali ya Covid19.
Lakini hao kina Hilda na Devotha ambao ni covid19+ ni hatari zaidi

Wasaliti ni hatari kwa chama; hao wengine watakuwaje hatari kwa chama na hawajakisaliti? Kuwasamehe hao kumi na tisa halafu mkawarudisha chamani mtakuwa mmekiua chama mwanzo mwisho!! Hao wanawake wamekula nyama ya mataga hawawezi kuacha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…