Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Katika suala la sasa, sioni compliance failure unayojaribu kuiongelea kwa upande wa kina Mdee inaanzia kifungu gani cha kikanuni.

Anayevuruga chama ni Kubenea na magazeti yake...
Nakukumbusha tu hicho kikao cha baraza kuu kinaongozwa na Freeman Mbowe.

Wakati wanampa uenyekiti walimwambia mwamba tuvushe.

Tulioangalia mkutano wake na waandishi wa habari baada ya nyinyi kuvuliwa vyeo vyenu na kufukuzwa uanachama Freeman Mbowe aliongea kwa hisia kali sana na uchungu mkubwa, tuliomshuhudia kwa macho nina hakika kikao cha baraza kuu hakitachukuwa hata lisaa limoja kubariki maamuzi ya kamati kuu.

Jipangeni kwa lingine, mnaowabinulia ndani ya Chadema wanawadanganya na kuwapoteza.

No merci for traitors, kwenye serikali yangu adhabu yenu ni kifo tu, kupigwa risasi hadharani ili muwe mfano kwa wengine.
 
Hiyo ni vita ya viti maalum hao wanapigania akina Halima Mdee wapigwe chini waingie ubunge viti maalumu wao

ni akina mama wanaparurana kichwa kugombea bwana anaeitwa ubunge viti maalumu
 
Mohammed Mtoi alifanya usaliti gani?
Damu yake na iandikwe juu ya mapaji ya nyuso zenu...
 
Hiyo ni vita ya viti maalum hao wanapigania akina Halima Mdee wapigwe chini waingie ubunge viti maalumu wao

ni akina mama wanaparurana kichwa kugombea bwana anaeitwa viti maalumu
Wapigwe chini mara ngapi wakati wameshafutwa uanachama?
 
Me naamin kila mtu anautaka huo ubunge sema wengne wanaona hawawez upata waanaamua kufanya tukose wote.. Bt ubunge mtamu
 
Post za Mdee kuhusu Mashinji nk zipo huko Twitter, hata alipogoma kumpa mkono Mashinji wakiwa mahakamani baada ya Mashinji kuunga juhudi zipo.
Namtetea Mdee.

Uhai wa hoja unategemea mazingira ya muda.

Mfano, at time T1, kuna wakati watu X alijenga hoja kuwa binadamu hutokana na homunculus, yaani kibinadamu kidogo kilicho kwenye sperm ya mwanamume, na kwamba, tumbo la mwanamke ni kama ardhi ya kusaidia mbegu hiyo kuota.

Lakini, at time T2, mtu huyo X alisema binadamu anatokana na muungano wa mbegu ya kiume na yao la kike.

Hoja ya kwanza inapingana na hoja ya pili, lakini kwa sababu ya tofauti za wakati.

Yaani, hoja zote mbili zilikuwa za kweli kulingana na wakati zilipotamkwa.

Kwa hiyo, mtu huyo X hawezi kulaumiwa kwa sababu ya kubadilisha misimamo ya kimawazo kwa sababu ya kupata ushahidi mpya.

In fact, ndio maala tuna vitabu vinavyopewa toleo la kwanza, toleo la pili, etc. Toleo la pili linakuwa na ushahidi mpya usio katika toleo la kwanza.

Ni vivyo hivyo kwa misimamo ya Mdee.

Tatizo liko wapi?
 

Na unaamini kabisa hiki ulichoandika ndio utetezi kwa Mdee! Hiyo theory umeamini kabisa inaweza kubeba utetezi kwa nilichosema kuhusu Mdee? Halafu Mama Amon acha kujifunza uhuni uzeeni.
 
Ulimwengu & co wameliuza Raia Mwema kwa Kubenea?

Vv
 
Baraza la mawaziri la Magufuli kuna waislamu watatu tu na hakuna Mzanzibar.

Hizo porojo za ccm hazina mashiko, wachaga kiasilia walishaikataa ccm miaka mingi sana na ndio icon ya upinzani Tanzania, mkatae au mkubali huo ndio ukweli.

Bila kupinga usemacho, hiyo tuhuma kuwa cdm ni chama cha kaskazini ni hoja iliyowaingia baadhi ya watu. Hapo haijalishi ukweli wa hoja hiyo, bali tunaangalia athari za hoja hiyo. Mfano uisilamu unanasibishwa na ugaidi, lakini uisilamu sio dini ya kigaidi. Hapa tatizo ni dhana iliyojengwa, na sio ukweli wa dhana yenyewe.
 
Kama chama kikiwasaheme hao watu, naamini chama kitagawwanyika, wale wanachama watiifu na waaminifu watajitoa kwenye chama

Pili, simtetei huyo nusrat alietolewa jela kwenda kuapa ubunge kwa sababu mipango yote ilisukwa akiwa ndani na form ya ubunge alijaza akiwa gerezani kwa hiyo mpaka anatoka gerezani tayari anajua kila kinachoendelea na alishakubali

Hao watu hawafai na kama chama kinataka kugawanyika basi ni kuwasamehe alina mdee
 
Kweli malaya ni janga lililo kugubiga. Unatumia muda wako mwingi kutulisha matangazo pori ambayo tunajua ni matangazo pori.
Mimi nakujulisha sasa hujui kuwa hujui.
 
Kweli malaya ni janga lililo kugubiga. Unatumia muda wako mwingi kutulisha matangazo pori ambayo tunajua ni matangazo pori.
Mimi nakujulisha sasa hujui kuwa hujui.
Kwani we siku hizi umeacha kuwachukua malaya wa Meeda Bar pale Sinza Mori?
Ndio walikufundisha hata ku-duuu, maana ulimaliza chuo hata bila kuonjeshwa na yeyote.
Kwenda kule!
 
Wewe ni mjinga kweli
Wewe ni mjinga kweli kwa kuwa kwa jinsi unavyozunguka kulipigia chapuo kundi la covid 19 mtu hahitaji elimu ya juu kuona lengo lako ni lipi.
 
mnyukano wa viti maalumu una makundi Matatu na hautaiacha Chadema salama tunaomba Chadema mkipasua chama msisingizie CCM

mnyukano you hivi kila kiongozi dume makao makuu na kamati kuu anataka watu wake wawe viti maalumu tuliona huko nyuma jinsi akina Lisu alivyompa dada yake ubunge viti maalumu na Mbowe naye akampa wake ndesamburi naye kampa binti yake wale viongozi wa kamati kuu na wa makao makuu walivyowapa wake zao nk

kundi la pili la akina Halima mdee wakongwe wa kike wafia chama walioko bungeni sasa hivi

kundi la tatu ndilo hilo la akina devota minja na huyo Newton waunda kundi la kupinga wakongwe wakaja kutimua wakongwe washike wao

hiyo vita haitaiacha Chadema salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…