Wakuu,
Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake,
Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka
Wananchi wanataka
"Wamama tunasema hivi: Hatutaki fidia, hatutaki maridhiano. Tunataka serikali ya Samia iondoke madarakani, yaani tunataka CCM iondoke na Samia wake waondoke wote!
Na kama kuhukumiwa, wahukumiwe kifo kama walivyowaua watoto wetu. Wahukumiwe kifo, na wasipouawa mimi mwanangu leo lazima nitampa ujasiri aje kulipa kisasi kwa mtoto wa mlilo. Lazima kisasi chake na chenyewe kimwage damu. Lazima wapate machungu tuliyopata sisi. Lazima kilio na simanzi kifike majumbani kwao. Lazima kilio na simanzi kifike majumbani kwao.
Tunataka haki ya watoto wetu. Kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu. Mpaka miili hatujapewa, hatujui walipozikwa, leo nije kukubali fidia? Mwanangu sasa hivi naenda kumswalia wapi? Naenda kuangalia kaburi lake lipo wapi?"

- Kufahamu mtoa amri ya mauaji
- Wauaji wawajibishwe
- Idadi sahihi ya vifo
- Miili ya ndugu zao waliouawa
- Polisi ijibu waliotekwa au kupotea wako wapi, na uchunguzi umefikia wapi