Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

Kina Mama wa watoto wanaotaka kina baba wasomeshe watoto shule za bei kubwa kuzidi uwezo wao, kuna mashindano ya siri ?

Kwani lazima kumpeleka shule yenye ada Million 2, sentikayumber c zipo elimu bure kabisa mpaka form 6
Ni kweli tunajua shule nyingi za private zina elimu bora

lakini ni muhimu zaidi Kuishi kwa kutotamani maisha ya wengine kuliko uhalisia wenu

Hapa nchini kwa makadirio katika watoto 20, ni moja tu anasoma private

Kwenda kusoma shule za kawaida nako sio kwamba mtoto atafeli, wapo wengi tu wanafaulu.
 
Elimu haina mwisho.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sio lazima. Baba akamchukue mtoto ampeleke kayumba. Case closed!
Yeah, yaa
Ni kweli tunajua shule nyingi za private zina elimu bora

lakini ni muhimu zaidi Kuishi kwa kutotamani maisha ya wengine kuliko uhalisia wenu

Hapa nchini kwa makadirio katika watoto 20, ni moja tu anasoma private

Kwenda kusoma shule za kawaida nako sio kwamba mtoto atafeli, wapo wengi tu wanafaulu.
Watu wanakalili maisha Familiar
 
Mama anakuja na mapendekezo ya ada na shule bila kuchangia hela? Labda awe mama wa nyumbani, akiwa anafanya kazi atachangia hizo cost
Kuna mwamba mmoja nilimsikia anasema, Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu 3
 
Back
Top Bottom