mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Umewaza mbali, 100%!👊Kuzaa na wajinga wajinga.
Siku wanaume tukithamini mbegu zetu tukamwaga sehemu sahihi jamii italeta watu wenye akili mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewaza mbali, 100%!👊Kuzaa na wajinga wajinga.
Siku wanaume tukithamini mbegu zetu tukamwaga sehemu sahihi jamii italeta watu wenye akili mno.
Sio lazima. Baba akamchukue mtoto ampeleke kayumba. Case closed!Kwani lazima kumpeleka shule yenye ada Million 2, sentikayumber c zipo elimu bure kabisa mpaka form 6
Ni kweli tunajua shule nyingi za private zina elimu boraKwani lazima kumpeleka shule yenye ada Million 2, sentikayumber c zipo elimu bure kabisa mpaka form 6
wewe utachangia shingapiMalalamiko yako hapa ni ada ya milioni mbili, usibadilishe mada
Yeah, yaaSio lazima. Baba akamchukue mtoto ampeleke kayumba. Case closed!
Watu wanakalili maisha FamiliarNi kweli tunajua shule nyingi za private zina elimu bora
lakini ni muhimu zaidi Kuishi kwa kutotamani maisha ya wengine kuliko uhalisia wenu
Hapa nchini kwa makadirio katika watoto 20, ni moja tu anasoma private
Kwenda kusoma shule za kawaida nako sio kwamba mtoto atafeli, wapo wengi tu wanafaulu.
Term hii unalipa wewe, term ijayo mimi..how about that?wewe utachangia shingapi
anza wewe nione upo serious kiasi ganiTerm hii unalipa wewe, term ijayo mimi..how about that?
Khe! We baba vipi😀anza wewe nione upo serious kiasi gani
Naona apo Familiar unataka kuthibitisha, kuona na kuamini kuwa mwanamke ni mbinafsi na mchoyo 😂😂😂.anza wewe nione upo serious kiasi gani
na we mama vipi😁Khe! We baba vipi😀
Hufaina we mama vipi😁
ukiwachekea hawa inakula kwakoNaona apo Familiar unataka kuthibitisha, kuona na kuamini kuwa mwanamke ni mbinafsi na mchoyo 😂😂😂.
wakati unanipa je.. uliona sifai..?Hufai
Yaan mpaka hapa tunavyozungumza kashaonesha uchoyo na ubinafsi, mwanamke sio wa kumuamini hata kidgo.ukiwachekea hawa inakula kwako
Kuna mwamba mmoja nilimsikia anasema, Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu 3Mama anakuja na mapendekezo ya ada na shule bila kuchangia hela? Labda awe mama wa nyumbani, akiwa anafanya kazi atachangia hizo cost
haki sawa kwenye jasho la mwanaume, jasho lao likiguswa utasikia mfumo dumeKuna mwamba mmoja nilimsikia anasema, Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu 3
Bangi hiziSiku mkiacha kuzaa hovyo hovyo kero kama hizi hamtazisikia. Ishi na mtoto wako.