Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
inanitesa sana hiyo habari data please unatua kama ni timu ya mpira vichwa vilivyopatikana kuwakilisha chadema vimepatikana ila mpachika magoli Mpendazoe tunamhitaji sana aungane na wenzake, matokeo ya mikoani yakichelewa wanasingizia umbali vijijini na Dar watasingizia nini ? inauma sana kama ni uchakachuaji basi CCM wako juu
 
Majombo yote wanayochelewa kutangaza wanachakachua matokeo ya urais
 
Siyo kweli! Anaongoza Kimanga tu. Wanarudia kuhesabu, nimepigiwa simu na mmoja wa wasimamizi, ila hajui ni kashinikiza kurudia kwani wote walikuwa hawaridhiki Mpenda na Mahanga! So still unkown

Shetani apite mbali.
 
Naona ndo jimbo linaloongoza so far kwa rafu za CCM
 
Hao wahesabu kura nao darasa la ngapi?
Inakuwaje wanazidiwa na watu wa vijijini?
Au ndiyo uchakachuaji wenyewe?
 
sio kweli, maana inasemekana kuna vituo hewa 25, na wagombea wa chadema pamoja na cuf kwa hiari yao wamemuomba msimamizi wa jimbo uchaguzi urudiwe na msimamizi kawaambia wakati wanaendelea kuhesabu wanafikiria na suala la kuurudia uchaguzi. so far kuna hatihati ya kurudia uchaguzi jimbo hilo
 
man una sound kama FMES

wewe humjui FMES.?.....Mzee wa umeme...si huyu!!!

Between the line ..the latest inside info ni kuwa JK amewaagiza wamtangaze tu Makongoro hata kama ameshindwa.....ili kuficha aibu ....maana Segerea ...,Kawe na Ubungo ..kote wamemnyima kura hata yeye!!...Amewaambia bora aibu kuliko fedheha..."tangazeni tu kama kulichukua wakalichukulie mahakamani"....
Pia huko Kipawa wanakosema wanasubiri ni uwongo kwani mawakala wa chadema fomu zao zinaonyesha kata ya Kiwalani wameshinda kura za diwani,ubunge na rais....kwa kifupi pia wanataka kumpora diwani wa kiwalani-chadema ushindi!!

Yaani JK ni over mbabe mbabe ....amepagawa kabisa!!!..amekuwa mbogo hadi hao watendaji wanaogopa vibarua vyao baada ya uchaguzi itakuwaje....kweli tume inabidi iwe na wafanyakazi huru kuanzia ngazi ya jimbo...kuwabebesha wakurugenzi wa manispaa kazi hizi ni Tatizo...wenyewe mmeona wakati mkurugenzi wa kinonndoni anamtangaza Mnyika alikuwa na wasiwasi anakaribia kulia na jacho kinamtoka ..kama mtu aliyehukumiwa....baadaye mmemuona Fuime ...namna alivyokuwa anajikanyaga pale rehema wa ITV alipomuuliza sababu ya kuchelewa matokeo...ametumia karibu dakika 10 kujieleza ...huku akionesha wasiwasi.....hawa wakurugenzi wapo kwenye shinikizo kubwa sana!!!...especially wote watakaopeleka matokeo ya JK kushindwa kwenye maeneo yao .......hili ndilo tatizo kubwa!!
 
Asante kwa maelezo mengi ya kina na yasiyo na msingi...! Hoja hapa tunataka Majibu ya kiti cha Segerea tafadhali...! Kumkosa Mpendazoe ni kukosa lulu...!
 
Jamani Mahanga na Zungu wako ndani Anatoglou, nimewasikia vijana wa CCM wanalalamika kwanini Chadema wanaachiwa na polisi na walinzi kupekua watu? Walimpekua mtu mmoja (ITV-source) akiwa na chipsi kumbe chini alikua na karatasi za matokeo, na mwingine alikutwa na mihuri na wino wa NEC kaficha chini ya mihogo wakidai walifata msosi, sasa jamani Segerea kuna nini? Mashishanga ameapa hakuna kulala Segerea liko mikononi mwa Chadema na CCM wanataka kuchakachua, wao wamesema hakuna kutangaza hadi matokeo ya vituo saba yaliyopotea yarudishwe na Mahanga aenguliwe kwa kukutwa na kura na kuwa yuko nje kwa dhamana, hiyo ni kesi ya kutosha kumuengua kama mwanafunzi aliyekutwa na mtihani, hakuna kurudia mtihani wala kusubiri matokeo, matokeo yanatangazwa ya wenzake yeye anakuwa msikilizaji akisubiri kwenda jimbo la Segerea (gerezani)kama mfungwa akapige kampeni huko.
 
Inabidi tusikubali huu upuuzi wa hali ya juu ,kakutwa na ma box ya kura!!!!
 
Wengi niwaonao kwenye picha ni kama wamejipumzisha tu. Hata mwenye laptop haonyeshi kuwa shughuli yoyote muhimu maana hata wa jirani yake asoma gazeti. Wanasubiri tu walioajiriwa kufanya vurugu wafanye na matokeo yaandikwe walivyoariwa.
Yana mwisho lakini
 
huu uchaguzi sasa umekuwa kama sinema ya kivita! watu wanatumia mpaka njia ya kuficha document kwenye mihogo.
 
Jamani Mahanga na Zungu wako ndani Anatoglou, nimewasikia vijana wa CCM wanalalamika kwanini Chadema wanaachiwa na polisi na walinzi kupekua watu? Walimpekua mtu mmoja (ITV-source) akiwa na chipsi kumbe chini alikua na karatasi za matokeo, na mwingine alikutwa na mihuri na wino wa NEC kaficha chini ya mihogo wakidai walifata msosi, sasa jamani Segerea kuna nini? Mashishanga ameapa hakuna kulala Segerea liko mikononi mwa Chadema na CCM wanataka kuchakachua, wao wamesema hakuna kutangaza hadi matokeo ya vituo saba yaliyopotea yarudishwe na Mahanga aenguliwe kwa kukutwa na kura na kuwa yuko nje kwa dhamana, hiyo ni kesi ya kutosha kumuengua kama mwanafunzi aliyekutwa na mtihani, hakuna kurudia mtihani wala kusubiri matokeo, matokeo yanatangazwa ya wenzake yeye anakuwa msikilizaji akisubiri kwenda jimbo la Segerea (gerezani)kama mfungwa akapige kampeni huko.

Mkuu kama ni hivyo watangaze tu maana matumbo joto huku
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom