Na hayo ndio yanfanya Lisu na chadema waeneze chuki!Si amejenga fly over, ameleta ajira million 6, ameboresha maslahi ya watumishi, ameleta umeme kila kona, amejenga hospital za kutosha sasa ni Mtanzania gani ataweza kueneza chuki dhidi ya mtu huyu ambaye watumishi wa umma, wakulima na wafanyabiashara wanampenda sana ?
Polis wa wapi?Lissu si ana uhakika ni JPM aende mahakamani ili polisi washughulike na suala lake.
Inaelekea haujui siasa, hautakiwi umsifu upinzani wako vivyo hivyo na kwenye mpira pia.Unajidanganya.
Unamionea wivu?Yule mrembo mkata mauno!
Kamuua nani?Kwahiyo huo "ukamanda in chifu" ndio atumie kuua wenzake?
Kufungwa kwa sugu haimaanishi watz hawako huru.Haki na uhuru ni kwa wachache, Sugu alifungwa bila kosa, kifungo kilichopelekea mauti ya mama yake kipenzi.
Lisu tajibiwa na wananchi oktoba!Mwaka wake wa kwanza tu magufuli alikua ameshaiharibu nchi na kuchukiwa na watz wote......[emoji848][emoji848]
Ajibu maswali ya Rais Tundu Lissu hatutaki blabla.....[emoji19][emoji19]
Kwani Hajaanza kula mahindi [emoji1787][emoji1787]
Akina Nusrat wako wapi sasa?Na wao wako wana type wakinywa mbege?Pumbav kabisaNdio maana upo free unatype huku unakunywa mbege. Haki na uhuru upo Tanzania.
Lissu amewashika pabaya!Magufuli mpaka kampeni ziishe akili zitakuwa zimemruka!Lissu is going nowhere!Tutabanana hapa hapa mpala kieleweke!Lisu tajibiwa na wananchi oktoba!
Mwambie aanze kuandaa mabegi tayari kwa safari ya kurejea kwa beberu wake Amstredam
Kampeni za mipasho au za kunadi sera na ilani?Mwambie mgombea wako ajibu alichoulizwa....
Subiri aliyeulizwa swali ajibu,kwani wew mkewe mpaka umjibie?Lissu si ana uhakika ni JPM aende mahakamani ili polisi washughulike na suala lake.