Uchaguzi 2020 Kinachoendelea kwenye kampeni za CHADEMA ni kueneza chuki dhidi ya Magufuli na sio kunadi Sera na Ilani ya chama chao

Ni jambo la Busara Mwenyekiti mwenyewe kaulizwa tu na Lissu jana furahisha kaona kula miwa Nzega ni muhimu kuliko kujibu maswali ya wananchi
Maswali gani hayo? Kwani JPM alikuwepo kwenye tukio? Kwani aliwatuma? Na kama Lissu anasema walitumwa na JPM basi achukue hatua stahiki. Sio kulialia kwenye majukwaa. Watu watamchagua huyo huyo anaewaungia kununua miwa.
 
Juzi alienda hadi kwa Sirro yeye Dereva wake,kumbuka huko nyuma walikuwa wanasema Dereva ndio shahidi muhimu sasa hata mahojiano hakuna inaonyesha kabisa hawakufikiria kama Lissu atarudi Nchini AIBU! AIBU! AIBU!
 
Maswali gani hayo? Kwani JPM alikuwepo kwenye tukio? Kwani aliwatuma? Na kama Lissu anasema walitumwa na JPM basi achukue hatua stahiki. Sio kulialia kwenye majukwaa. Watu watamchagua huyo huyo anaewaungia kununua miwa.
Una ile Video ya Mb wa Nzega alivyokuwa analia na hata kutishia kuuacha Ubunge wa Nzega kwa kubakwa na kuwataja watu maalum wa Magufuli huku Ndugai akicheeeka hapohapo Zitto Kabwe akaomba ufafanuzi kidole kinapointi sehemu moja tu
 
Vipi kama lissu na yeye amemtania Magu?wewe umethibitishaje kuwa ana jazba?
 
Kwani CCM wanavyosema Raisi ametoa hela za kufanya hili, kufanya yale wewe huoni??????

Kuna shida gani Chadema wakimsema magufuli wakati Ccm nao wanasema ni magufuli kafanya na sio serikali wala chama?????

Punguani wa Lumumba wewe!!!
 
Sera mbadala nilitegemea itoke chadema sasa muda wote anaongelea kupigwa risasi tu .kwakweli anatumia muda mwingi kuongelea risasi zake sasa huyu agenda yake kubwa i ipi
 
Yetu macho, kama shambulio la watu wabaya litambeba Lissu huku akieneza chuki.

Anachokisema Lisu ni ukweli, unashauri aende mahakamani, ni mahakama gani inaweza kushughulikia suala linaloweza kumtia hatiani rais? Kulikuwa na ripoti ya bunge kuhusu shambulio lake, mbona haijawahi kusomwa mpaka leo? Chini ya rais huyu hakuna uchaguzi wa haki, ni vipi utake kuonyesha kuwa matokeo yake yatatokana na kampeni za ukweli anaousema Lisu? Ubaya usipoongewa kila mara ni kutoa nafasi ya ubaya zaidi kufanywa.
 
October mnaweza kutoka na mbunge mmoja tu.

Ni kweli, ila sio kwa kura, bali ni kwa maagizo ya huyo huyo unayesema Lisu anamsema. Kama anapenda utani, awapelekee hao wanaomsujudia, Lisu hataki utani wake.
 
Tunampa na yeye aonje machungu ya dhambi Ile aliyotutendea Tarh 7/9/2017, hatuwezi kusamehe Uhalifu mkubwa kiasi hicho
 
Ni kweli, ila sio kwa kura, bali ni kwa maagizo ya huyo huyo unayesema Lisu anamsema. Kama anapenda utani, awapelekee hao wanaomsujudia, Lisu hataki utani wake.
Huyuhuyu alisema Chadema kimekufa
 
Kama hakuna uchaguzi wa haki sasa mgombea wa Chadema anashiriki kutafuta nini? Kudhurula mikoani kuonyesha jazba na chuki zake huku akiomba michango ya wananchi ambao anadai hawana kitu mifukoni? Acha kuleta hoja za kitoto.
Ubaya gani unaousemea kuzua uongo na kuongea kwa jazba. Kuna kipindi alidai kuna watu wametumwa wamuue kwa sumu.Hujui hizi ni tuhuma nzito,ambazo hazina ukweli.
 
Una ile Video ya Mb wa Nzega alivyokuwa analia na hata kutishia kuuacha Ubunge wa Nzega kwa kubakwa na kuwataja watu maalum wa Magufuli huku Ndugai akicheeeka hapohapo Zitto Kabwe akaomba ufafanuzi kidole kinapointi sehemu moja tu
Kidole kinapoint wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…