Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #161
Maswali gani hayo? Kwani JPM alikuwepo kwenye tukio? Kwani aliwatuma? Na kama Lissu anasema walitumwa na JPM basi achukue hatua stahiki. Sio kulialia kwenye majukwaa. Watu watamchagua huyo huyo anaewaungia kununua miwa.Ni jambo la Busara Mwenyekiti mwenyewe kaulizwa tu na Lissu jana furahisha kaona kula miwa Nzega ni muhimu kuliko kujibu maswali ya wananchi