Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Jiwe akiwasema wapinzani sio kesiMe nafikiri washauri wake hawako vizuri au hautaki urais?? Kapewa hiyo nafasi ili amrushie maneno mwenzie???
Kwa stail hii no kazi sana nafikiri Chadema ijikite zaidi kwenye kueneza Sera na sio kushambulia na mikoa hii ndo muhimu sanaaaa jamaa likienda huko linamwaga sumu wanasahau yote ya nyuma
Wapinzan wakimsema Magufuli kesi