Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Wanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii
Pumbavu! Hizo ni dalili za mwanamke malaya!
 
Kenyan soldiers
2GSCJ4V24ZKGXMQOOM4YTMHS3I.jpg


Tanzanian Soldiers
00480831:f48b4e19c621601ce224568f6b420a81:arc614x376:w614:us1.jpg


Heeheee. Sare gani mbovu hapo.
Shuleni kwenu amfundishwi maana ya utandawazi kijana ku Google tu ume shindwa ....mna valisha police vitenge
1559092527.jpg
1382051697.jpg
 
Huku bongo mmebaki tu kumshabikia Zumaridi shenziii kabisa..Kenya Kuna wanaume haswaaa..
 
cc Mathanzua , ningeshangaa hili wazo la conspiracy lisengeibuka, ila nilikuwa nategemea Mathanzua ndiye angeruka nalo!
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatoka madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya.

Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
 
Watawala wa kiafrica wote wanafanana tu hata Odinga akiingia still hatoweza leta changes,
Tatizo la Afrika sio nani aingie na asiingie , tatizo la Afrika ni mfumo. Huu mfumo wa SAsa umefail hauwezi leta mabadiliko.
Waafrika watafute namna ingine ya kujiongoza
 
Chaguo la mabeberu lilikuwa ni Odinga sema Mungu aliingilia kati, mabeberu wanataka kupindua meza
 
Back
Top Bottom