NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
JanguKamaJangu umeshindwa kuweka updates za mada yako mkuu!.
Nilitegemea umeweka hata live link kutoka eneo la tukio mwishoe na wewe unasoma na unasikilizia tunaotoa comments.
UPDATE:
Mzee bado ana dhamira hasa ya kufanya maandamano namuona yupo front line pamoja na njia zote kufungwa kuelekea Ilulu, anafanya mawasiliano na watu wake mpaka anapata njia mbadala.
Kuna sehemu unaona kabisa askali wanamuangalia na hawafanyi chochote but anaingia ndani ya gari ndipo wanapuliza moshi wa kuwasha macho 😂!.
Kuna umbwa moja imesema odinga kajificha.