Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Kuna polisi wamepewa kibano mpaka wamekimbia kujificha.
Nguvu ya umma haijawahi kushindwa,kama wakisema enough is enough.Wanakumbuka ahadi za Ruto kipindi cha uchaguzi. Unga ndo unazidi kupanda bei.
 
Yani wenzetu unga umepanda kidogo tuu wameamua kuingia road wabongoo unga umedouble price..mchelee juu..mafuta juu yani labda kitu hakujapanda bei ni DHAMBI tu bongoo lakini sasa TUPO KAMA MAKONDOOO VILE. yani hii nchi ni tupate RAIS wa kutuonea huruma tu ilaa wananchi hakuna wakuongea kitu wala kunyanyua mdomoo hayupo achilia mbali kuingia road maana hiyo ndo HAITA KUJA KUTOKEA MILELE
 
Uliwahi kuona maiti ana nyanyuka mkuu kusema kitu au kuandamana
 
Kuna polisi wamepewa kibano mpaka wamekimbia kujificha.
Kuna mmoja kakimbizwa akaenda kuingia kwenye nyumba ya watu, kisha akavua kombati akabaki na vest na boksa akatoka nje peku akajifanya kichaa....😜😜
Yaani K24 hawaendi mbinguni aiseeee....😂😂
 
Jamaa wanaonekana wamedhamiria kuandamana iwe mvua, iwe jua
Ila nimecheka sana, yaani kuna askari kunya wana mbio walahi...😜😜😜
Kuna mmoja ametoka mbio hadi kiatu kikachomoka mguuni akabaki kukanyaka na soksi tupu, na yenyewe ilikua imetoboka kwa mbele ikakunjwa...🤣🤣
Yaani K24 ni watu wabadi sana wameitendea haki news...😂😂
 
Nguvu ya umma haijawahi kushindwa,kama wakisema enough is enough.Wanakumbuka ahadi za Ruto kipindi cha uchaguzi. Unga ndo unazidi kupanda bei.
Kuna afande mmoja kakimbizwa na raia akaona isiwe tabu akaruka ukuta chubwiii...😜😜 mara kitambi kika ng'ang'ania kwenye waya juu ya ukuta..😂😂😂
 
Polisi wanakimbia aisee! Wafuasi wa Raila wanarusha mawe si kitoto. Kuna Polisi wameruka ukuta kuingia nyumba ya mtu kujinusuru na mawe! Hii inarushwa live K24!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kibongo bongo tv zote na wasanii wote ungekuta wanahubiri amani wakati kuna watu wanalala njaa kisa serikali kufungua mipaka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hilo ni zao la ukabila, watanzania wajifunze tofauti kati ya upinzani wa kisiasa na ukabila, Kenya ni mfano wa ukabila, huko hakuna siasa ni ukabila mtupu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wewe umesikia kenya MKIKUYU NA MKAMBA unga wanauziwa bei tofauti??? kwamba ukienda sokoni kununua mchele unaulizwa kabila?? yani watu kama wew ndo wanadhirisha wabongo hatujitambui kabisaa.. UGUMU wa maisha hauchagui kabila wala dini.
 
Back
Top Bottom