ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
Hapo police wanasema mguu nipishe niwahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo police wanasema mguu nipishe niwahi
Acha utoto wewe,nimeshakwambia Hilo swali lako linajiniwa na SoMo la economics,kasome mambo ya elasticity of demand na welfare economics..Wewe ndiye hujaelewa. Kama huko Kuna regularator why na kwenye chakula wasiwepo ili kulinda raia wake ama hujui serikali na sawa na baba mwenye nyumba kila kitu anaweka limit ama umeongea kiaushabiki.
Wanasema biashara Ni huru so waruhusu sukari ya nje ijae ndani tununue kilo 1500-2000 ili na hivi vya ndani vizalishe kuleta ushindani.
Why nauli ya hiace iwepo 500 Mana wafanyabiashara waachiwe wawe huru kujiwekea wanayotaka. Mana tupo kwenye ubepari.
Nchi Ni karibia zote ama nyingi huwa wanazuia chakula kisitoke ama kinachoingia wanakicheki Kama kina ubora kwa maisha ya afya ya watu wake. Sema huku njaa waziri anaweza ruhusu chakula kibaya kisa akapigwa mlungula
Wanatumika tu na wanasiasa hawa vijanaAfrica vijana wanakufa kwa Mambo ambayo hayana Maana Kabisa Politicians can never change the life situations of someone else ,
Si umeona umeanza kupata emotional pains tayari.Acha utoto wewe,nimeshakwambia Hilo swali lako linajiniwa na SoMo la economics,kasome mambo ya elasticity of demand na welfare economics..
Hunilipi kuanza kukufundisha kama huna Cha kuongea pita huko.
Jengeni nchi, uchaguzi ulipita nyumbu nyinyiWakenya 1.8 million wanaendelea ma juhudi zao za kuongia Ikulu "kwa amani". Nairobi imechafuka kweli kweli.
Huna lolote ndugu ngoja sisi tufurahie polisi wanavyokimbizwa kama vibaka mkisubiri zamu zenuUna maana hako ka askofu uchwara ni "mtumishi wa Mungu"?
Wanatumika tu na wanasiasa hawa vijana
Hilo ni zao la ukabila, watanzania wajifunze tofauti kati ya upinzani wa kisiasa na ukabila, Kenya ni mfano wa ukabila, huko hakuna siasa ni ukabila mtupu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Upuuzi mtupu.Huna lolote ndugu ngoja sisi tufurahie polisi wanavyokimbizwa kama vibaka mkisubiri zamu zenu
Kwamba wafanyeje...😳Bado wa Tz
😂😂Bado wa Tz
Mbowe anaingiaje hapaWanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii