Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hako ka askofu uchwara mbona hakajakiwasha mpaka sasa. Kanangojea nini?..."Hatuwezi kuipata katiba tunayoitaka na kwa wakati tunaotaka tukiogopa kufa, kukamatwa au kufungwa." -- Askofu Mwamakula...
Hahhah raia Wana hasira
Hako ka askofu mbona hakajakiwasha mpaka sasa. Kanangojea nini?
Upuuzi mtupu. Wewe na hako kaaskofu kako ni vijana wa hovyo sana.
Naona umeandika kihisia mno na ukaona upo sahihi.Eti wamebeba masufulia, mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
Sio cognitive dissonancekwani maana ya mgawanyiko wa kazi ni nini?kama wote wataenda shamba nani atafanya kazi zingine.hiyo ni myopic thinking.
Kwa sababu mafuta yanauzwa na wachache so cartels are there so regulators lazima.Naona umeandika kihisia mno na ukaona upo sahihi.
Jiulize haya maswali Basi kabla ya ego yako kukuongoza mkuu;
1-why mafuta yanapangwa Bei na Sumatra ama umeme?
2- why nauli zinapangwa na mamlaka husika za serikali
3- why sukari ya nje hairusiwi Kuingia ndani na kuuzwa ilete ushindani Mana biashara Ni ushindani na Ni biashara pia.
4-niendelee ama umepata mwanga tayari
Usidharau watumishi wa Mungu ndugu. Kwa lipi ulilo nalo wewe?Upuuzi mtupu. Wewe na hako kaaskofu kako ni vijana wa hovyo sana.
Mkuu, hiyo ni njaa ya kawaida, Kenya ni njaa tangu wapate uhuru wao, huko Turkana watu wanakufa kwa njaa huko Turkana na SamburuWenzio ukute sio kwamba wana njaa ya chakula kama wewe bali lengo kufikisha ujumbe kwa serikali juu ya mfumko wa bei.
Maandamano yana jumbe tofauti tofauti usikariri mkuu.
Una maana hako ka askofu uchwara ni "mtumishi wa Mungu"?Usidharau watumishi wa Mungu ndugu. Kwa lipi ulilo nalo wewe?
Bado upo emotionally why irusiwe partial na sio totally.Kwa sababu mafuta yanauzwa na wachache so cartels are there so regulators lazima.
Nauli hivyo hivyo,Kuna chama Cha Wenye Ushawishi
Sukari ya Nje inaruhusuwa Kwa Kiasi kile ambacho hatuwezi kuzalisha.
Kasome economics utaelewa Sina mda wa kufundisha mtu hapa.Bado upo emotionally why irusiwe partial na sio totally.
Pia why regulators iwepo,na why wawepo waingizaji wachache wa mafuta na sio wengi
Mkuu hongera Sana kwa hii" post" yako, nimeipenda Sana.Chadema wanacho sahau ni kitu kimoja tu, kwamba kuwa na katiba nzuri nijambo moja, lakini utamaduni wa kuheshimu katiba na sheria kwa ujumla (ambalo ni jambo la msingi sana kuliko kuwa na katiba au sheria nzuri) ni jambo lingine.
Wewe ndiye hujaelewa. Kama huko Kuna regularator why na kwenye chakula wasiwepo ili kulinda raia wake ama hujui serikali na sawa na baba mwenye nyumba kila kitu anaweka limit ama umeongea kiaushabiki.Kasome economics utaelewa Sina mda wa kufundisha mtu hapa.