Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Ndio maana naipenda Tanzania yangu, huku huwa tohara kwa WANAUME ni jambo muhimu na lamsingi.
Mwanaume kukosa tohara ni tatizo sana, ona kinachoendelea kwa majirani. Ingekuwa ni huku Tz huyo Mzee tungekamata na kukata hiyo uchafu unaoning'inia
 
Maandamano yalifanyika Nairobi yote sio Kibira tu,Kitale, Kisumu,Homa bay,Kisii na Kakamega kwa hiyo sio kweli kwamba walioshiriki ni waluo pekee yao.
hukop kote ni waluo na Nairobi ki asili ulijengwa na wajenzi wa reli- wajaluo na waluya
 
HUYU BABU HANA HEKIMA KABISA, HAPO KITAMBO WAZEE NDIYO WALIKUWA NGUZO ZA AMANI, LAKINI NAONA AJABU KABISA KWA MZEE RAO.
 
Back
Top Bottom