Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatokha madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya. Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
Huu upuuzi kawasimulie wajinga wenzio kwa mpalange
 
kushinda na mtu ana silaha wewe uko mikono mitupu ni ngumu sana .

ila na nyie Wandishi na ma camera yenu 🙌

mnajiamini sana eh ?
hv Polisi akikosea akadhani na wewe ni muandamaji ?🤔
 
Ila wenzetu Kenya wapo mbali sana. Naangalia K24 mahojiano watu wanafunguka bila woga. Hii hapa Tanzania hata hii ya Samia huwezi kufunguka namna hiyo kwanza media zenyewe zitakuzimia mic

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwamba wapinzani wote wameshindwa kuwekeza kwenye media ambazo ni pro - upinzani ?; By the way things are going right now wala Mike haziitaji kuzimwa; penye udhia rupia imepenyezwa ni mwendo wa kusifia mwanzo mwisho....

Tumepiga hatua kurudi nyuma na hii sio sababu ya Chama tawala pekee bali people lack principles; hakuna mtu anayesimamia misimamo yake bali tumbo lake.....
 
Huko Kenya kimenuka pamoja na nguvu kubwa inayotumiwa kuyazima, ujumbe utakuwa umewafikia walengwa loud and clear.

"We will be here until they run out of tear gas," said one protester, Markings Nyamweya, 27.

Screenshot_20230320-133210.jpg


Hakuna matamu yatapatikana mezani.

Hadi sasa haijulikani walipo vigogo wa Azimio la Umoja japo ni wazi kuwa wapo na mapambano yanaendelea.

"Hatuwezi kuipata katiba tunayoitaka na kwa wakati tunaotaka tukiogopa kufa, kukamatwa au kufungwa." -- Askofu Mwamakula.

"Laila na mashujaa wa Azimio endeleeni kutoa somo tuko nanyi bega kwa bega."

Aluta Continua!

Source: Nation Media.

Tear gas, arrests as Kenya opposition stages protests
 
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatoka madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya. Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
Kutwa mnawaza ushoga, mada haihusiani na ushoga wewe unaleta
 
Chadema tunaomba majibu inakuaje Rais wa kidemokrasia aliyesema hatatumia Polisi kukandamiza Wapinzani wake Sasa anawashikisha adabu akina Raila...
Chadema wanacho sahau ni kitu kimoja tu, kwamba kuwa na katiba nzuri nijambo moja, lakini utamaduni wa kuheshimu katiba na sheria kwa ujumla (ambalo ni jambo la msingi sana kuliko kuwa na katiba au sheria nzuri) ni jambo lingine.
 
Chadema wanacho sahau ni kitu kimoja tu, kwamba kuwa na katiba nzuri nijambo moja, lakini utamaduni wa kuheshimu katiba na sheria kwa ujumla (ambalo ni jambo la msingi sana kuliko kuwa na katiba au sheria nzuri) ni jambo lingine.
Na wasisahua qanaotakiwa kutekeleza matakwa ya Katiba ni watu na wanaweza wasitekeleze vile vile.
 
Back
Top Bottom