Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
IMG_1300.jpg
 
Tuliambiwa katiba mpya ya Kenya unazuia mizozo ndani ya Kenya sio kama huku kwetu

Leo chama cha azimio imekiwasha katikati ya jiji la Nairobi ni mabomu ya machozi na risasi zikilia

Mtu mmoja amefariki kwa kupigwa risasi na huenda idadi ya vifo ikaongezeka hapo baadae

USSR
 
Tuliambiwa katiba mpya ya Kenya unazuia mizozo ndani ya Kenya sio kama huku kwetu

Leo chama cha azimio imekiwasha katikati ya jiji la Nairobi ni mabomu ya machozi na risasi zikilia

USSR
Mto uko wapi
 
Raila kaufyata na kawavunja moyo wajinga wanaomfuataga miaka yote acha wapigwe na njaa na leo alikua akamatwe halafu yanafunguliwa mashataka ya uhaini halafu anakaa ndani hadi ruto amalize muda wake huku akizungushwa tu naona kashtuka
 
Back
Top Bottom