Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Wanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii
Asali gani ya kumlambisha Odinga?
Odinga hana njaa. Odinga na wajaluo wenzake wanataka urais, pesa wanazo tena nyingi sana.