Wanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii
Pumbavu! Hizo ni dalili za mwanamke malaya!
 
Huku bongo mmebaki tu kumshabikia Zumaridi shenziii kabisa..Kenya Kuna wanaume haswaaa..
 
cc Mathanzua , ningeshangaa hili wazo la conspiracy lisengeibuka, ila nilikuwa nategemea Mathanzua ndiye angeruka nalo!
 
Watawala wa kiafrica wote wanafanana tu hata Odinga akiingia still hatoweza leta changes,
Tatizo la Afrika sio nani aingie na asiingie , tatizo la Afrika ni mfumo. Huu mfumo wa SAsa umefail hauwezi leta mabadiliko.
Waafrika watafute namna ingine ya kujiongoza
 
Chaguo la mabeberu lilikuwa ni Odinga sema Mungu aliingilia kati, mabeberu wanataka kupindua meza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…