Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Mar 22, 2023 #381 So akina ONyango tuu ndo walishiliki?
Eddo Sambai JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 2,377 Reaction score 1,861 Mar 23, 2023 #382 Ndio maana naipenda Tanzania yangu, huku huwa tohara kwa WANAUME ni jambo muhimu na lamsingi. Mwanaume kukosa tohara ni tatizo sana, ona kinachoendelea kwa majirani. Ingekuwa ni huku Tz huyo Mzee tungekamata na kukata hiyo uchafu unaoning'inia
Ndio maana naipenda Tanzania yangu, huku huwa tohara kwa WANAUME ni jambo muhimu na lamsingi. Mwanaume kukosa tohara ni tatizo sana, ona kinachoendelea kwa majirani. Ingekuwa ni huku Tz huyo Mzee tungekamata na kukata hiyo uchafu unaoning'inia
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Mar 23, 2023 #383 Tui said: Maandamano yalifanyika Nairobi yote sio Kibira tu,Kitale, Kisumu,Homa bay,Kisii na Kakamega kwa hiyo sio kweli kwamba walioshiriki ni waluo pekee yao. Click to expand... hukop kote ni waluo na Nairobi ki asili ulijengwa na wajenzi wa reli- wajaluo na waluya
Tui said: Maandamano yalifanyika Nairobi yote sio Kibira tu,Kitale, Kisumu,Homa bay,Kisii na Kakamega kwa hiyo sio kweli kwamba walioshiriki ni waluo pekee yao. Click to expand... hukop kote ni waluo na Nairobi ki asili ulijengwa na wajenzi wa reli- wajaluo na waluya
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Mar 25, 2023 #384 HUYU BABU HANA HEKIMA KABISA, HAPO KITAMBO WAZEE NDIYO WALIKUWA NGUZO ZA AMANI, LAKINI NAONA AJABU KABISA KWA MZEE RAO.
HUYU BABU HANA HEKIMA KABISA, HAPO KITAMBO WAZEE NDIYO WALIKUWA NGUZO ZA AMANI, LAKINI NAONA AJABU KABISA KWA MZEE RAO.