Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Klm na Arusha plus Manyara radio nyingi ni za Kenya....sioni hoja ya msingi kwenye bandiko lako...Tangu nikiwa mtoto RTD nimeisikia nikiwa Sekondari...the rest of radio stations zilikua ni za Kenya...Hata beer mikoa mingine ilianza kuzipata baada ya watu wa North kuanza kuzitoa Kenya na kuwauzia hao wa mikoani.
 
Mkoa wa kagera una radio kumi zinazomilikiwa na wahaya na zenye makao yake mkoani humo hasa bukoba yenye radio saba kati ya hizo na zinasikika kanda ya ziwa na nchi jirani
 
Mkoa wa kagera una radio kumi zinazomilikiwa na wahaya na zenye makao yake mkoani humo hasa bukoba yenye radio saba kati ya hizo na zinasikika kanda ya ziwa na nchi jirani
East Africa Radio na Tv inasikika nchi ngapi na mikoa mingapi? Radio One Jee?Nadhani hizi pia,ni za wahaya...
 
Wachaga wanawaza sana nje ya Box huku makabila mengi wakiponda MAGUFULI anawachukia wachaga mzee mmoja wakichanga nilisikia akisema tusomeshe watoto wetu shule nzuri ata kwa kukopa wawe madoctor maenginer n.k vyeo vya serikali ni vya muda mfupi tyu na vya lawama nyingi.
 
East Africa Radio na Tv inasikika nchi ngapi na mikoa mingapi? Radio One Jee?Nadhani hizi pia,ni za wahaya...
Huyo ni MTU mmoja tu mengi na Mimi nikitolea mhaya mmoja tu mfano kairuki anaemiliki hospital kubwa Hubert kairuki,chuo kikuu na taasisi mbona utalia tu na wengine wengi aisee wahaya wanahela hata kama kwao hawawekezi ipasavyo
 
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
 
Ninachokiona kiuhalisia hakuna wahaya waliowekeza Klm na Arusha kama watu wa Kaskazini walivyowekeza hapo uhayani kwenu...Hata sii ajabu hapo ulipo umrzungukwa na kina Mangi na maduka yao ya kutosha tuu but huku mimi sijashuhudia uwekezaji wa wahaya iwe kwenye utalii au elimu au biashara nyingineyo....I stand to be corrected...A piece of advice to you guys...acheni pomposity fanyeni kazi na mpunguze misifa pia mjenge kwenu vijijini huko pia mbadilishe lifestyle ili ku boost per capital income.Wishing you all the best in your endeavours.
 
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
Unaifahamu kampuni ya abemulo ya ujenzi.na jee asilia,kabanga water ? Na jee meli ya MV Serengeti,kishimba,new uhuru za ziwa Victoria wamiliki ni wakina nani?
 
Above all napenda sn sprit ya wachagga, wanatafuta pesa (Hardly&Badly) thru the year tena wakiwa mbali na makwao kwa maana ya family, relatives and friends, na zaidi wakiwa huko wanasaidiana sana kuona kati yao hakuna anayekwama.
Ubaya uko wapi kupumzika nyumbani na family, relatives and friends?
Tuchukue mazuri yao yatujenge pia!
 
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupu
 
Akili hasi. Badala ya kujiuliza hawa jamaa wanafanikiwa vipi unatamani wabanwe kwani umekuta watu wanasema wameibiwa? Ni watu kama nyinyi mnaopaswa kupuuliziwa sawa ya kuwa wadudu.
 
Unaifahamu kampuni ya abemulo ya ujenzi.na jee asilia,kabanga water ? Na jee meli ya MV Serengeti,kishimba,new uhuru za ziwa Victoria wamiliki ni wakina nani?
Ww jamaa unanijinasibu ni mchaga ila mbona unatokwa na mapovu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…